@darwatelectrics: Ukitaka kujua gharama upande wa mifumo ya umeme hakikisha unatuita site ili kuona uhalisia wa jengo, tushauriane kisha tukupatie hesabu Kwa mujibu wa tulichokubaliana. Hii itakuokolea muda na gharama zitakazokwamisha ujenzi wako. Karibu @darwatelectrics Kwa kazi safi. . . . #umeme #dodoma #zanzibar #zanzibartiktok #fundiumemetanzania

Fundiumeme_pro
Fundiumeme_pro
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 14 September 2026 20:04:00 GMT
5391
129
5
13

Music

Download

Comments

pangraminvestments
pangraminvestments :
Fundi afike site, akokotoe alipwe pesa za usafiri na hiyo kazi
2026-09-15 17:23:41
1
shadow2.tik0
Fallen :
samahani naomba kuuliza hivi mnavyotindua hivyo na matobo mengi haisababishi nyumba au kuta kuwa dhaifu?
2026-09-15 04:42:19
0
To see more videos from user @darwatelectrics, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About