@ditro1231:

Ditro@123
Ditro@123
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 14 September 2026 20:05:22 GMT
121762
7153
185
433

Music

Download

Comments

shahidi.wa.jamuhu
Shahidi wa Jamuhuri🔫 :
hili ndo lilikuwa bunge sasa.... uzuri Mungu aliruhusu tuone uwezo wa Lissu kupitia bunge la Makinda
2026-09-15 05:58:26
41
tumainibarare
Tumaini Barare :
bunge la moto
2026-09-15 02:56:41
8
henam68
Henam :
hapo mwenyekiti wa bunge alikua Mama Samia
2026-09-17 08:29:07
15
salum.pwapwala
Sam :
mbuge Mmoja wa chadema nisawa na wabuge 20. kutoka kwengine
2026-09-16 01:27:52
28
mashauri931
mashauri :
hatatokea mtu wa namna hii tanzania
2026-09-15 12:35:24
24
francetemba
France temba :
lisu ni mfalme wa siasa anajua sana
2026-09-15 07:07:09
44
kijana.wa.syestm.m
KIJANA WA SYESTM MIKONO SALAM :
mhe Lissu alikuwa anawafunua walio lala kwa kwel🥰🥰
2026-09-15 08:51:18
28
samwelapolinary
Sam 45 :
noma xana mwamba lisi
2026-09-15 17:07:52
8
miriamgerson327
miriamgerson327 :
Mh, Lissu ni mmoja tyuu Tz, CCM mtaua Sana👌👌 wananchi tunasimama na Lisu pamoja na Heche ✌️😘.
2026-09-15 21:44:33
24
peterfughutwe
peter :
kweli giza tumeanza kuliona
2026-09-15 05:31:50
16
elishajk0
ELISHA JK🇹🇿🇰🇪 :
Na uzur anajua anachokisema afu kwanza hapo Kuna wengn wanapata somo,,, afu unaenda kumfungia mtu kama huyo😭😭😭😭
2026-09-15 08:19:11
15
barakaelpid
Baraka Elpid :
tunatamani bunge kama hili lijirudie aisee😂🤣😁
2026-09-15 05:17:38
15
chidodomubishi
chidodo mubishi :
bunge safiiiiiiiiiii kamqnda lisu safiii
2026-09-15 06:06:44
10
adiyu.hassan
Adiyu Hassan :
hii sichokqg kuisikiliza naiona kama mpya siku zote
2026-09-15 06:17:32
14
wakalamsomi0
Wakalamsomi :
King of Politics ❤️❤️❤️
2026-09-16 04:34:15
9
onesmojolvitt
Onesmo Jolvitt :
mkuuu mm sina neno piga kaz
2026-09-16 00:33:18
9
blace.mkingule4
Blace Mkingule :
Kweli AKILI SIO ELIMU.MUNGU AKUBARIKI SANA MH.TUNDU ANTIPHAS LISSU.
2026-09-15 15:40:40
15
alanyuni.emanuely
Alanyuni Emanuely@@ :
rais ni moja tu 😂😂😂
2026-09-15 06:22:14
6
nelson.usiri
Nelxung :
hiii ilikua faida ya uchaguz
2026-09-15 07:18:40
10
firstborn21277
firstborn :
mwamba kwelikwel🥰🥰🥰🥰
2026-09-15 07:24:28
13
mgulatz
MgulaTZ :
Hili bunge ilikuwa ni moto sana.
2026-09-16 16:56:17
8
miriamgerson327
miriamgerson327 :
Yani serikal ya Sasa Kila kitu ni mchongo, bunge la mchongo, uongozi wa mchongo, ufisadi Sana, Mauwaji Sanaa na utekaji yanii akili hawana kazi kuua
2026-09-15 21:47:16
7
cosu514
COSU :
Huyu ni mtu au Ai
2026-09-17 10:48:50
8
doctor.9684
Doctor 9684 :
SAUTI HAICHOSHI KUSIKILIZA. FREE TUNDU LISU HANA HATIA SIO MHAINI
2026-09-17 06:52:46
5
benedict.masima7
DICT BEN FAMILY :
mwaka gn huu mbna camera zmefifia hv😳😳
2026-09-15 21:35:08
5
To see more videos from user @ditro1231, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About