aisee Kuna hii anakufunga goal Moja anapenda setting aisee[Laugh approved]
2026-09-22 08:06:24
0
Ally ally :
ulipaswa upewe hela soda 😂😂😂
2026-09-15 12:43:46
12
Bran tinnie :
aloo swala la kufungwa dakika za jion 😂😂 daaa inauma kuliko vyotee naona wanangu daaa yan unakuta mtu ana kikos kikubwa ushafos draw anakupiga dakika za nyongeza afu ukute iliongezwa dakika 2 kwa vile unashambuliwa ikaenda adi dakika 4 mechi inaisha dakika 94 na kupigwa juu daaa😂😂🙌🙌
2026-09-15 19:41:44
7
Majaan :
umesahau unaongoza alaf mtu anakupigia simu mamaee unakata alaf anapiga Tena mamaeeeee😡😡😡
2026-09-15 13:43:57
10
timbwaxmc :
jitu limekufunga hata 4 na lina possess mpira ila kila muda linaenda setting huwa wanakera kinoma
2026-09-15 04:30:31
6
SSK :
kufungwa goli la britz curler
2026-09-22 19:58:32
1
NDANGA _ GUN :
umesaau wanako piga sm wakati wa game
2026-09-20 06:43:16
0
CHATGPT OF e football :
mimi bwana wafnifunge wachezaji wote lakini akinifunga Eli hadj diouf iyo sio game inakuwa vita
2026-09-15 11:17:58
3
Andrew majonde :
jana nimefungwa kisa network na nilikua nangoza 2😭😭
2026-09-15 06:16:04
3
khan j :
kitu kinachokera mwanzako amekufungu unakuta anasimamisha mchezo halafu habadili chochote kasimamisha anakera unatamani ucancel2 up0tez
2026-09-17 11:48:04
0
mjex_art 🎨 :
umesahau anae Sim iite kat kat ya mech
2026-09-20 10:46:50
1
phezuru man :
kununua coin alaf unakosa epic
2026-09-21 10:23:36
1
Benjamin Benjamin :
kinachonikera dk za jioniii unatakiwa ushinde goli Moja, then umepiga counter mesi anabaki yeye na kipa unabonyeza shout, yeye anapiga pass ya kuingia ndani anakabwa unapoteza mpira😂
2026-09-15 08:17:05
1
Peace maker :
Kajamaa kana kufunga Goli moja kidogo tyu setting kdg setting ao waseng waga wana kera sana
2026-09-22 13:12:57
0
kitenge :
tulio kutwa na hy mambo comenti hapa
2026-09-15 04:29:11
2
MARO_MSAUZI :
Una kuta unaongoza 3-2 game inafikaa dk 90 dk za nyongeza mnapewa 4 umekaza haswa game inaenda mpaka dk 96 afu jama ndio anachomoa tena goal Blitz Curel 🥲🥲
2026-09-22 13:10:24
0
nbl3ktech :
umesahau kupgiwa simu
2026-09-14 21:17:28
0
Tamim True :
😢😢😢Vyote leo vimenikuta ivo Division2 msiichukulie poa
2026-09-14 21:00:09
1
fei :
kupigiwa cm 🤙 uko division
2026-09-22 18:59:01
0
gbad :
aijawakukuta unaforce ukachomoe goli dakika yamwish Ala direction inagom mchezaj anasimama ww
2026-09-22 18:49:00
0
Juno :
kufungwa na f2p last match kwenda dv 1🤣🤣
2026-09-22 12:14:14
0
vin tech. :
mech ya mwish kuingia dvn 1 af ufungwe na kikos kidg😅af gol la penati🤣ye ni but butu tu🥲ilo swal linauma san af unakuj kumwangalia ameishia dvn 3😅🤣🤣oua
2026-09-22 08:39:14
0
M@ILO 💔 :
usisahau wanaofanya sub kila wakat
2026-09-21 21:39:02
0
moudy again__👊🦅 :
umesahau hii kaka..unakuta unashambulia unakosa magoli inakula nguzo tu mara kipa katoa..mwenzako anashambulia mara moja unafungwa daaah inauma hiii
2026-09-22 20:10:46
1
To see more videos from user @scott_maphuma24, please go to the Tikwm
homepage.