@sparowakienyeji: katika rekodi hiyo simba ndo timu pekee inayoongoza kuwa na mechi nyingi kwa kushinda mara nyingi zaidi kuliko timu yeyote #creatorsearchinsights #simba #yanga #ligikuu #viral #trendingvideo #fyyp #footballfans #viralpost #tztiktok #footballfans #viralfypシforyoupage #worldwide

Soka zone
Soka zone
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 14 September 2026 23:16:32 GMT
524551
8644
405
417

Music

Download

Comments

fizzongenzi
Fizzo Ngenzi :
Simba 7 vs Horoya
2026-09-15 05:34:30
67
user0745029152
Epebe47 :
yanga 5-1 simba hyooo haipoo
2026-09-15 18:25:54
6
muhammad.shekolow
Muhammad Shekolowa :
mbona As vita 5 simba sifur sion
2026-09-15 05:20:22
15
masege.mbenya
Masege Mbenya :
singida zire sab mbn sion
2026-09-15 07:42:16
2
hajiussi845
CAMANDA MITUMBA :
2026-09-14 23:49:13
11
vascoshega11
vasco :
uliepost n simba mbn yanga kachakaza sana izo sita lakini hujapost
2026-09-18 18:51:15
1
jay2814180
japhet :
sijaona simba na horoya
2026-09-19 14:09:23
5
alexjuma545
Alex Juma :
YANGA 5 SIMBA 1
2026-09-18 16:15:54
4
kareem.sapa
Kareem Sapa :
umesahau simba kashinda Mara 3 ushindi mkubwa
2026-09-15 05:09:46
1
malunde1412
malunde1412 :
simba vs holoya mbona siioni kiongoz na wakati mtu alikula week
2026-09-15 03:40:51
1
abson371
abson :
kumb na yanga yumo ata hamxem
2026-09-15 09:16:09
3
user6885200054022
j4 jr100 :
mbn ya zalani n yang haipo
2026-09-18 16:30:47
0
user9003102946253
𝚂𝙸𝙻𝙴𝙽𝚃 𝙺𝙸𝙻𝙻𝙴𝚁 27 :
𝑴𝒏𝒂𝒋𝒊𝒔𝒂𝒉𝒂𝒖𝒍𝒊𝒔𝒉𝒂 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒚𝒂𝒏𝒈𝒂 𝒂𝒍𝒊𝒔𝒉𝒂 𝒔𝒉𝒊𝒏𝒅𝒂 𝒄𝒉𝒖𝒎𝒂 6😂😂
2026-09-15 15:49:54
3
user6057827429167
S boonser Officially :
African Star ni timu ya wap🤣🤣
2026-09-15 20:54:09
3
jackyer06
Jackyer :
Simba 7 horoya 0 , mbn siioni hapo
2026-09-16 07:03:11
0
johnandrea77
johnandrea77 :
mbn cjaona yanga kupigwa goli 6 na record ya hatrick kibaden ad leo
2026-09-16 09:49:55
0
khacmxellah
khacm xellah 0790463722 :
m2 umeambiwa caf arafu wasema simba na yanga elewa swali
2026-09-16 09:30:18
0
athumani2026
Athumani2026 :
Yanga 6 kashinda sanaa tena kimataifa kwa yanga sio stori
2026-09-16 10:58:17
0
mussa.joness
Mussa Joness :
mbna Al ahly 5 kunya fc 0 sijaiona
2026-09-17 18:56:39
1
elisha2704
Elisha :
Mbona ya Uroya na simba 7-0 siion broo
2026-09-17 08:18:06
0
peterkavishe220
✞𝐇𝐔𝐍𝐓𝐒𝐌𝐀𝐍✞ :
we jau wapi simba vs horoya 7 1
2026-09-16 09:14:27
1
mashauri28
mashauri :
As vita 5:0 simba Alhy 5:0 simba To mazembe 4.0 simba
2026-09-16 12:56:55
3
khacmxellah
khacm xellah 0790463722 :
jaman holoya kashasahaulika jamani
2026-09-16 09:28:56
0
bensonirizari6s
bensonIrizarI6s :
Inamaana kwa 2026 nisimba pekee yenye imeandika goal mingi
2026-09-18 18:35:46
0
manfredy80
manfredy :
hiyo ya umesaha na ile uto alo kula 13 nje ndani vs al ahyl
2026-09-15 11:40:26
0
To see more videos from user @sparowakienyeji, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About