@assdik.djoumat.dj:

Assdik Djoumat
Assdik Djoumat
Open In TikTok:
Region: TD
Monday 14 September 2026 23:57:13 GMT
103
22
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @assdik.djoumat.dj, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

WATANZANIA, TUPUNGUZENI MANENO YA LAWAMA. 🥺💔 Ni kweli, vijana tunakosea. Ni kweli, kuna mambo mengi tunayopaswa kujifunza na kuyarekebisha. Lakini Arusha sasa imezidi kwa matukio ya kusikitisha, na wakati kama huu tunahitaji zaidi huruma, busara na umoja, si lawama na matusi. Nimeona wengi mnavyokwenda kwenye post za IRENE, maneno ni mengi sana… lawama, hukumu na hata matusi. 😢💔 Jamani, tupunguze ukali wa maneno. Irene aliondoka kwenda ku-refresh mind. Ndiyo, starehe ni sehemu ya maisha ya mwanadamu. Mtu anahitaji muda wa kutoka, kucheka, kupumzika na kusahau mawazo kwa muda. Hakuna anayejua siku yake ya mwisho itakuwa lini. Leo tunamzungumzia Irene, kesho inaweza kuwa mtu wetu wa karibu. Kifo kinapotokea, si wakati wa kushindana nani alikuwa sahihi na nani alikuwa amekosea. Ni wakati wa kuomboleza, kujifunza na kumuombea marehemu. 🕊️💔 Tafadhali, kabla hujaandika comment ya lawama au tusi, kumbuka kwamba nyuma ya jina IRENE kuna familia, ndugu, marafiki na watu waliompenda. Tusitumie msiba wa mtu kama sehemu ya kumhukumu. Tujifunze kutokana na yaliyotokea, tuwaombee vijana wetu, na zaidi ya yote tuache chuki na hukumu zisizo na huruma. Irene amekwenda. Maneno yetu hayawezi kumbadilisha chochote sasa. Lakini yanaweza kuwaumiza zaidi wale waliobaki. 💔🕊️ MUNGU AIPUMZISHE ROHO YA IRENE KWA AMANI. NA MUNGU AWAPE NGUVU WOTE WALIOACHWA NA MAJONZI. 🤍🕊️ ULIKUWA RAFIKII BORAA SANA KWANGUU NENDAA MAMA ILA KIFO CHAKO MUNGU ATAKILIPA KISASI @Wasafi Media #arushatanzania🇹🇿 #fffyyypppp @MWANDISHI WA WANANCHI @godfreythomas07 @Millard ayo @CROWN MEDIA

About