@talkboutitwithconradley: Kwenye ulimwengu unaoweza kuwa kitu chochote, chagua kuwa mwema (be kind). Hamna mtu anastahili kunyanyaswa kwa njia yeyote ile. Katika mchakato wa kukuwa, kila mmoja ana haki ya kukosea na kupatia, sometimes ili upatie utatakiwa kukosea, hivyo tuache unyanyasaji. ..... Sina umiliki wa content iliyotumika. Imetengenezwa na kumilikiwa na @DStvTZ #tiktokeastafrica🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇰🇪🇹🇿 #tiktoktanzania🇹🇿 #talkboutitwithconradley #creatorsearchinsights

talkboutitwithconradley
talkboutitwithconradley
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 02:45:41 GMT
83918
6046
223
190

Music

Download

Comments

denismganda7
🌍DMG🐦‍🔥 :
Yes your so perfect brother
2026-09-15 04:41:55
4
msmarie94
Ms marie🧸 ❤️ :
kumbe unaweza kua na hela ukakosa amani🥺🥺
2026-09-15 09:01:27
31
itikagodfrey378
Itika Godfrey :
Well said brother, blessings
2026-09-15 05:36:39
10
user4763673362382
Irene :
yani mimi najifunza sana kupitia awa wanadada
2026-09-15 04:01:29
97
corteznavarrol
Cortez :
When you see someone fall, dont laugh, learn.
2026-09-15 04:58:58
41
mariasamweli260
homeless@ ❤ :
katika maisha wote tunakosea na siyo kosa kukosea ila kinachotuumiza wengi ni kukataa kukubali kwamba nilikosea na nilijifunza nini kutokana na yale makosa lkn bila kusahau maisha yanatakiwa kuendelea kwasababu huwezi kurekebisha past ila unaweza kurekebisha leo yako ,kukubali kwamba ulikosea kama binadamu wa kawaida ambae lazima ukosee kunakufanya usijione unahatia maisha yako yote inakufanya uishi kwa amani na pia inakupa nafasi ya kuishi kwa umakini na kubadilisha makosa yako angarau usikosee tena ingawa sisi binadamu huwezi kusema hutokosea unaweza kukosea hata ukiwa 45+ ni hali ya kibinadamu tu hivyo unatakiwa kuchukulia kama funzo na kuishi maisha yako like never before
2026-09-15 05:37:48
45
farisvzg3zd
Nasreen :
Daddy tufungulie tuweze download please 🙏
2026-09-15 05:38:50
15
user22735957062140
Alice❤️‍🩹 :
namimi Niko muhali mbaya kama ya kajala😭😭 mungu atutiye ngufu
2026-09-15 08:50:34
30
dora.kibale1
Dora Kibale :
ni kweli baba kwa mwenye akili atakuelewa
2026-09-15 04:10:32
13
larosemuvambi
larosemuvambi :
Afazali mimi nili jitambua mapema asante Mungu 🙏🏻🙏🏻
2026-09-15 05:30:00
8
tusane4
Tusane :
Very true is a lesson
2026-09-15 08:02:04
1
usermwajux47
Mwajux47 :
you're so handsome 👌🏻
2026-09-15 04:09:32
5
mrs.tesha1
Happie❤ :
Nko kwenye situation ya kajala saivi😥😥
2026-09-15 04:54:01
10
teethery
Tee💕mathematcs3c :
Kajala anachopasa kufanya nikujisamehe tuu basiii , haibadilishi ila inafanya mtu a heal
2026-09-15 10:33:09
5
ableseaman1
⚓️Able seaman⚓️ :
poleni
2026-09-15 05:35:41
0
miriam.mayala0
Mam :
wengi tunapitia uko kama kajala bora hata anamtu wa kumuombea na kufunga ss wengine ni ss wenyewe tu
2026-09-15 06:16:45
8
alillah124
alillah 👩‍⚕️ :
jmn wallah huu mwenz wa wa 9 watu wametendwa sanaaa kweny mhusian yao yaan kila mtu analia n mhusian eeeeee wanume shid nn
2026-09-15 11:52:24
6
anchillarwehumbiza
anchy :
sure sure
2026-09-15 04:30:03
2
samiaej6
user1878067956381 :
mashaallah babaangu
2026-09-15 05:55:25
1
fatmakissaga
Fatma Kissaga :
tuachie tuwe tuna save BAC 😂😂
2026-09-15 06:03:37
3
neemangonyan
neymarta :
fact
2026-09-15 05:33:19
1
user5257860056762
Sarah nyiramana :
pole dada angu ninamwazo kinamwisho mungu iko atakusaidia
2026-09-15 12:14:24
1
ashuraally10
ashura ally :
sure
2026-09-15 05:29:18
1
foreveryoungskincaretz
Forever young skin care kahama :
Sahihi kabisa🖖🏻
2026-09-15 05:34:29
1
playstationempirearusha
PlayStation Empire Arusha :
2026-09-15 04:52:24
4
To see more videos from user @talkboutitwithconradley, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About