@abisainzali: SEMINA YA NENO LA MUNGU ILIYOFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 13-09-2026 .THE CHAOS IS COMING - VURUGU ZINAKUJA - TAZAMA VIDEO KUPITIA YOUTUBE.
duniani sio sehemu salama tena tujifunze kujilinda
2026-09-15 09:09:03
7
Peres Samwel :
dah hii semina nolitamaaaaan san nihuzulie ila nilishindwa najisikia vibaya saaana😢😢😢😢😢
2026-09-15 12:20:56
5
Nestroy Jr :
Barikiwaa mtumishii wa MUNGU
2026-09-15 03:45:44
4
pedeshe momo :
namuelewaga sana huyu muchungaj
2026-09-16 05:50:18
3
Mugisa Asimwe Elie🇨🇩🇨🇩🇨🇩 :
Vraiment tu me touche beaucoup pasteur, avec votre prédication
2026-09-15 12:59:03
2
Tuma 🥰🥰 :
Kitabu chako nakipataje
2026-09-15 08:37:02
2
Naphtali kanyari maina :
nakupeda sana mtumishi
2026-09-16 12:23:29
1
mery@111 :
kwaiyo marekani ndo Mungu au ndo wakuu wa Dunia maana daaah sio powa kwa kweli
2026-09-16 07:06:47
3
James Fabian :
heshima kaka
2026-09-15 06:26:20
1
Malema :
weka hata namba tutoe sadaka
2026-09-15 03:55:56
2
Laulent P.m seka :
brother unafaa
2026-09-16 08:23:59
2
mr :
sikweli
2026-09-15 09:03:36
1
Jay Bitana Sanvura :
You're a really teacher,napenda namna unajieleza I wish ningekuwa napata nafasi hiyo yakufatilia nakujadiliana Kwa lengo ya kujenga kanisa la Bwana.
2026-09-15 15:23:31
1
Man_Chillah_tz :
yupo sahihi sana , mifumo ina haribika mfano sasaivi , Haya maendeleo ya technolojia hasa nyanja ya Artificial Intelligence , kazi zilizokua zinalipa hapo nyuma kwa sasa zimeshuka
2026-09-15 15:39:01
1
SYLVER UMEME⚡💡💡🔌 :
upo vzur bro
2026-09-18 06:47:34
2
iga.Yohna Mwakalebela :
fact
2026-09-15 19:40:38
1
@azine :
brother
2026-09-15 08:20:14
2
Tbs bukaliga :
barikiwa sana mtumishi huwa nakufuatilia sana na nafunguka sana kwenye ufahamu wangu kila ninapoona jumbe zako hakika MUNGU ameweka kitu cha tofauti sana kichwani mwako
2026-09-18 06:08:57
1
nameless umantawa :
Napenda mafunzo yako
2026-09-16 20:10:52
1
DR MKWASI :
hakika,
2026-09-15 18:09:39
1
Pascal Songa Ushindi. USP :
Amen
2026-09-15 04:57:13
1
Mss.marry🍷🥂 :
Hii sim imejaa clip zako Mungu akubariki sana 💯✍️✍️✍️
2026-09-22 09:51:24
0
Lwitiko Mwalukimba :
unjiri yenye ukwer na uwaz ndio zinazo tuweka huru amina
2026-09-22 12:05:07
0
freedom. :
Aura.
2026-09-17 20:51:57
0
Martin Andrew :
unajua sn mtumishi mungu akurinde
2026-09-23 15:56:12
1
To see more videos from user @abisainzali, please go to the Tikwm
homepage.