@pci_tanzania: Kila designer mkubwa unayemwona leo alianza zero Kama hujui kushona au unajua kidogo basi usijikatie tamaa Darasa letu la mwisho kwa mwaka huu linaanza 21 SEPTEMBER Usiingie 2027 ukiwa bado unasema “nitaanza” Anza sasa. Usajili unaendelea Tunapatikana, 📍Kijitonyama, nyuma ya KKKT 📞 0718731438 #PCITanzania #Ushonaji #FashionDesign #daressalaam🇹🇿 #Jifunzekushona
pci_tanzania
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 03:22:40 GMT
Music
Download
Comments
mom :
canvas inatumika kwenye mishono gani haswaa
2026-09-15 09:04:46
2
sara Madaraka :
samahan mwalim ety kuna hostel mana me nipo tanga
2026-09-17 07:52:44
1
shamimukweka7 :
wale wa online tupe muongozo sir
2026-09-15 05:24:59
2
Beaty's fashion :
nahitaji kujifunza online
2026-09-15 11:03:54
1
mwanahamisi :
unapatikana wap
2026-09-15 18:01:44
0
danieli daughter :
mwalimu
2026-09-15 09:24:45
1
Zuhra Mmanga :
nataka kujifunza kiasi gani naomba jibu
2026-09-26 06:59:55
0
Khadija Mohammedy :
online ada beigani
2026-09-26 11:56:01
0
Maliam Sadara :
mwalimu unaelekeza vizili sana
2026-09-15 12:06:21
1
Ouma Kireni :
wawu
2026-09-26 09:45:16
1
nikupenda bure vp kuhusu darasa
2026-09-21 06:39:33
1
Jamila Mpogole :
Sawa tupo pqamoja
2026-09-15 13:46:29
1
Fiona :
Location?
2026-09-15 10:32:35
0
Rwillystylish :
usitusahau wa online kutupa mwongozo
2026-09-15 06:02:45
1
hancymbughuni :
ok
2026-09-15 06:55:26
1
namonje💝💕💖🎵 :
samahani naomba kuulizaa je ada shingapi wa dei .na darasani mwanafunzi anaeingia muda gani na anatoka muda gani
2026-09-21 04:38:30
0
Ouma Kireni :
ayi
2026-09-25 18:38:34
1
Ouma Kireni :
ayi what tu
2026-09-25 21:33:20
0
Da maya@ :
yaan huy ni mwalim wangu kabisa" mwnfunzi asipoelew now akatembeze nyanya
2026-09-24 21:56:26
0
Nita♥️ fashion 👏 :
🫶
2026-09-15 05:23:04
1
Saidina :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-16 19:40:53
1
Edva Disney :
❤️❤️❤️
2026-09-16 19:53:49
1
To see more videos from user @pci_tanzania, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.