@chomozatv: Mungu Anasema Nini Kwa Habari Ya EL-NiNO. Mtumishi Wa Mungu Rev @danielyjoshuan #2026angaza

chomozatv
chomozatv
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 03:49:02 GMT
56718
2554
82
273

Music

Download

Comments

judithmlomo42
Cute judie✨💜🦋 :
Wakat umefika sasa wa mimi kusali hapaa anaejuaa ratiba za ibadaaa naomba aniambiee
2026-09-15 15:02:13
3
_herieth56
Herieth :
Baba katikati ya ghadhabu kumbuka rehema ....uturehemu Mungu wetu
2026-09-16 09:10:18
18
nkosazana0622
Martha Lucas :
MUNGU aturehemu kwakweli machafuko ni mengi[Teary eyed] tunamkosea sana MUNGU baba yetu wa mbinguni aturehemu sana
2026-09-15 10:35:21
21
aikasmile4
aikasmile4 :
Uturehemu Ee BWANA kwa kuwa tumekutenda dhambi 😢
2026-09-15 12:04:26
9
nipetano1
Majengo computer solution :
Mungu tuepushe na niepushe na hili balaa linalokuja....
2026-09-25 18:50:53
3
cassandra.vanness
Cassandra Vannessa :
MUNGU aturehemu 😭😭😭na kutuokoa na mabaya yote
2026-09-15 08:11:50
6
nancynjau628
nancynjau628 :
Ee Mungu Turehemu
2026-09-26 04:53:26
1
tina.salon66
Tina salon :
Ee MUNGU uturehemu tuna kili sisi ni wakosefu wakati wote 🙏🏻🥺
2026-09-16 06:03:37
6
nasramartin1
Naoo906 :
Tunaomba rehema zako ee MUNGU
2026-09-20 10:42:29
1
user6796721135675
user6796721135675 :
Eeee Yesu mwana wa daùdi uturehem
2026-09-22 16:38:03
1
graysonmariki
graysonmariki :
2026-09-15 22:48:23
1
user1375048041457
@Grayson wambura :
Ishuu ni kukaa na MUNGU vizuri, hamna namna nyingine....
2026-09-27 13:35:07
1
glimmer_store1
@glimmer_store1 :
Eeeh Mungu tusaidie 🥺
2026-09-15 18:20:44
2
leelaizerlew
lee lee lee :
MUNGU TUREHEMU
2026-09-15 11:12:36
2
rosemary.lema7
Rosemary Lema :
Mungu atusamehe na anataka tutubu tumehubiriwa sana hili
2026-09-15 13:28:27
4
user56946630009746
Annah 🥰😇 :
utusamehe MUNGU wetu tunakua tumekukosea Ebwana tusamehe tuepushe Bwana🙏🙏🙏
2026-09-16 03:57:07
3
dorymimi
%miss dee 2tu :
Taifa la Mungu kila mtu atubu kwa Imani yake 🙏🏻 Tumrudie Mungu Tutubu wakati ni sasa na Tuombee Taifa letu 😭😭😭
2026-09-17 02:48:27
4
zainamwambashi
zainamwambashi :
Mungu turehemu eeeeh Bwana katikati ya ghadhabu kumbuka Rehema zako
2026-09-15 17:23:46
3
jkyange
binti wa Yesu :
Mungu nirehemu mimi na jamaa zangu
2026-09-21 20:14:43
1
angel.sylvester98
Angel Sylvester :
Eeeeeh Mungu tunaomba uturehemu kwa dhambi zetu tulizozifanya
2026-09-17 21:02:42
1
shaenyshanelly
shanelly :
Mungu aturehemu🙆😭
2026-09-15 21:12:48
1
user39474379406760
Rugambwa Kabwijagye :
acheni inyeshe yote yamepangwa-na Mungu, mbona-hamuongelei ukame tulio nawo kwa mda mrefu mpaka mifugo yetu imekufa sana
2026-09-15 17:03:00
2
user6759166071323
christina :
amina kwa bwana yesu
2026-09-15 12:38:35
2
user5508776783190
Brownie :
Mungu tuepushe na gadhabu yako Ee BWANA MUNGU wangu[Crying][Crying][Crying][Crying]
2026-09-18 13:13:51
2
florence.msigala
Bado Lipo tumaini🙏🥰 :
Tunomba toba na rehema kwa Mungu
2026-09-15 13:02:09
3
To see more videos from user @chomozatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About