@jrshasanchez2204:

Founder Sharon's Angels
Founder Sharon's Angels
Open In TikTok:
Region: PH
Tuesday 15 September 2026 04:02:07 GMT
236
23
7
6

Music

Download

Comments

dream_ole_47
OLE' :
🌹🌹🌹gaganda
2026-09-15 04:04:31
0
sansafoster37
🎧🎸lolo💦kulit 🎸🎧 :
so beautiful selfie po
2026-09-15 20:34:37
0
sansafoster37
🎧🎸lolo💦kulit 🎸🎧 :
https://vt.tiktok.com/ZSqVRY1MT/💖💖💖💖
2026-09-15 20:34:43
0
jrshasanchez2204
Founder Sharon's Angels :
@💜💜Pearly Ann (PEARL)💜💜 @Nette's RioAvergon @Lead of the Crew
2026-09-15 04:46:05
0
jrsha041022
👑👸🏻👸🏻JRSHA🦁🦁👸🏻 :
🥰🥰🥰🥰♥️♥️♥️♥️♥️♥️
2026-09-15 04:38:20
0
amt_0101
@chelskie01 2nd account ❤️ :
🥰🥰🥰🥰
2026-09-15 09:04:11
0
To see more videos from user @jrshasanchez2204, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

FAHAMU MATATIZO YA TEZI DUME: Soma...👇 Kama tulivyosema hapo awali, Tezi dume ni Tezi ya ziada ya Mfumo wa Uzazi wa Kiume inayofanya kazi ya kuendesha misuli wakati wa kukojoa na kumwaga manii Tezi hii hupatikana chini ya Kibofu cha Mkojo, na Urethra inapita ndani yake. Imezungukwa na kapsuli ya elastic, fibromuscular na ina tishu za tezi na tishu zinazounganishwa pamoja Tezi hii huzalisha Umajimaji ambao huunda sehemu ya Shahawa ambazo hutoka wakati wa kumwaga kama sehemu ya mwitikio wa kijinsia wa kiume. Kioevu hiki cha Tezi hii kina alkali kidogo, maziwa au nyeupe kwa kuonekana ambayo husaidia kupunguza asidi ya njia ya uke pamoja na kuongeza muda wa maisha ya manii Kumbe basi, Kutokana na Maelezo hayo, Tezi Dume sio ugonjwa wala jambo la Kuogopa bali ni Kiungo muhimu ambacho kila Mwanaume unacho Tunachotakiwa Kuelewa ni kwamba, Tezi hii inapopata Shida ndipo Matatizo hujitokeza. Matatizo ya Tezi Dume yanatokea pale ambapo kunahusishwa na Kuvimba, Maambukizi na Saratani Zifuatazo ni Dalili zitakazokujulisha kuwa Tezi Dume ina Kasoro au Matatizo: ✓ Unapata Tatizo la Haja Ndogo Mara kwa Mara na kushindwa kuzuia haja hasa pale unapopata kwa Ghafla ✓ Unapata Maumivu chini ya Kinena Wakati wa Haja Ndogo au Baada ya Haja Ndogo ✓ Unatumia Nguvu Kubwa Kusukuma Haja Ndogo itoke ✓ Unashindwa kumudu Tendo la Ndoa, Kupoteza Hamu, Kushindwa Kurudia pamoja na Kupoteza Nguvu na Stamina wakati wa Tendo ✓ Kutoa Haja Ndogo iliyoambatana na Damu au Kutoa Mbegu zilizoambatana na Damu Baada ya Tendo la Ndoa Kama Una Changamoto kadhaa kati ya Hizi, Wasiliana Nami kupata Muongozo na Namna ya Kuondokana na Changamoto yako. USISITE KUNIPIGIA SIMU AU KUNITUMIA UJUMBE WHATSAPP +255755909400 afyayamwili #afyalishe #afyamtaji #afyayako #afyadozi #afyacheki_ #afyachekicloudstv #afyajamii #afyahouse #afyahomoni #afyanzuri #mwanaumewashoka #kidume #mwanaumenaafya #nguvuzakiume #mazoezi #afyamazoezi #afyanamazoezi #belgium #efmjoggingn #exercise #Fitness #workout #gym #motivation #health #cannada fitness  #usa #usatravel

About