Kuna sisi ambao tumehamia tu wala hatukuomba tufanyaje jmn
2026-09-15 11:12:40
2
jomteam :
toka nihamie kwangu hela zimekata yani Kuna mda nakosa hata ya kutumia ,kazi ngumu,wateja hakuna mauzauza tu
2026-09-21 15:13:14
1
victoria malisa :
mimi nmeota mara 2 nyumba mpya navamiwa na mafuriko na nanusurika natoka nje nakosa msaada
juzi tena nmeota nawakera majiran navyoomba wakarudisha mashambulizi
2026-09-30 06:17:33
1
Marygoreth KBM :
Vanessa nimeomba namba yako. Napitia mateso makali mno. Natamani kuongea na Roho Mtakatifu but yupo kimya. Natamani nikae nawe utoe sadaka ya muda tuabudu pamoja kwa muda
2026-09-15 17:10:21
1
user1632692114805 :
jaman eneo langu hili kiuchumi nko ok lakn afyaaa magonjwa jmn hayaish nikiingia ndan ndo naanz kikohozi kisichoishaa ooh God
2026-09-15 16:47:37
2
kei george :
mie niliamia kwenye nyumba yng jmn ehh nguvu za giza zipo jamani mbona nilianza kuomba na kupambana ktk maombi nilikuwa naoneshwa vitu vikubwa vya giza vinatisha lkn nashukuru roho mtakatifu alikuwa ananiongoza kwenye maombi
2026-09-16 20:43:07
1
Happyness Warance :
yaan ni kweli na wakati mwingine unaweza ukaafirisika kabissa
2026-09-15 07:10:18
1
Dorice Msilu :
Ameen
2026-09-15 04:59:55
1
mis. lyeee :
Amen
2026-09-15 05:39:21
1
Hawa Mussa :
j🥰
2026-09-15 05:30:56
1
Rigalo 📌📌🪛 :
Amen
2026-09-15 06:16:33
0
mariam :
roho ya kenge inawakilisha nini?,niliota inaingia k nyumba yangu mpya,ila niliitandika nikaitupa nje
2026-09-28 07:52:09
0
bree :
How do I activate angels and angelic help
2026-09-25 11:52:24
0
Blessed Eve :
amen kweli neno la mungu liko na nguvu.
natap hii neema maana wakati mwingine nina uzito kwa kulisoma
2026-09-23 19:04:52
0
winifridawilfred :
Hivi kama umeshakaa 3years unaweza ukalitakasa sahivi?
2026-09-23 11:04:14
0
Frida Collection :
kweli kabisa
2026-09-20 15:19:03
0
edaya lizz :
huyo mdada ndio mimi,,,,,
2026-09-18 20:17:02
0
BLAISE MASUDI :
Amen
2026-09-15 06:56:05
0
To see more videos from user @dadavanessa7, please go to the Tikwm
homepage.