@godwilltruckdrive:

godwill truck adventure
godwill truck adventure
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 15 September 2026 04:55:24 GMT
12257
576
89
16

Music

Download

Comments

user5710437610788
king mswati.💯 :
shida madreva akuna umoja tunge kuwa na umoja jambo jepesi sana
2026-09-16 03:42:41
8
user9751987238128
ISSA :
iv maskar tuweakosea nn sisi madereva jaman wange twambia tulicho wakosea Ili tuwalipe waache kutu winda maana tunaishi kama swala na chui
2026-09-15 20:56:21
3
swalehebori0
swalehebori495 :
wanatafuta hela kwanguvu awa jamaa Dah
2026-09-15 18:54:26
1
famysalum923
famysalum923 :
yani askari wa tanzania sio kama wa ulaya watanzania wanataka tukosee yani sio watufundishe
2026-09-23 04:48:30
3
yacn.qugu
Qugu boy :
awatupat wananjaa san
2026-09-15 20:43:04
1
chau.dele
Chau. Og :
kama huyo unaweza fikilia maamuzi magumu hawajui Tu
2026-09-24 04:31:29
1
usechorowatkitok
Nassoro wa mama :
baba ndokaziyao natumesha wagundua
2026-09-15 20:17:47
1
danielfaustin8
danielfaustin :
linda point kaka
2026-09-15 20:19:37
1
jeysk61
jeysk💫🫁 :
duh kwani madereva tumekosea nn jmn
2026-09-15 20:07:47
1
bekakhan222
BECKA KHAN TZ :
🙏🙏 mung nd dereva
2026-09-15 16:27:23
1
patrick..fiddo
Patrick..Fiddo😎 :
Hivi hawa maaskari hawaoni aibu wakiziona hizi clip mitandaoni! yani inasikitisha sana
2026-09-16 11:35:59
0
user924980433556
kakamechu :
ua nawapita sana
2026-09-16 17:56:59
1
robert.guat
Robert Guat :
Ukimjua adui wako raha sana
2026-09-16 05:15:02
3
nzeyalema
nzeyalema :
ifikie sehem waone aibu hata hao serikali wawaongezee mshahara watu wao maana wanafosi sana pesa
2026-09-18 04:22:42
0
mabruksalum
fake dollar 💵 :
anataka point hizo, kuendesha gari polepole bila sababu sinihatia ama?🤔,
2026-09-16 11:35:13
0
j_kilawe
Jackson :
watu wana njaa
2026-09-16 17:06:53
1
aliharoun41
Ali Haroun :
noma
2026-09-15 23:56:49
1
tobamlewa
Mlewa Toba :
ttmie mie gali Hilo mambo Kwa ushahidi
2026-09-15 19:47:28
1
tannyg98
MUFĄṢ̌3Ř :
ila hawa ndugu zetu bana [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-16 09:11:17
1
ney768706
@nai🌹❤ :
ilo nalo n kosa kutembea speed ndogo sana kwenye highway wanajitoa sana faham Yan sijui wanatumia akil gan
2026-09-21 06:35:36
0
ahmed.bulji
Ahmed Bulji :
onesheni vzr namba za magari
2026-09-24 21:45:36
0
user6961227814740
user6961227814740 :
hyo namjua anajenga kule mafundi wanafunga lenta anatakiwa aende na hela
2026-09-23 08:12:32
0
23520fra
frank 🇹🇿 :
bro pole, ngoma ikilia sana ipo ukingoni
2026-09-19 12:18:32
1
sikilizalwisa181
Sikiliza Lwisa :
achanayo kabisa hiyo njia haifai hata kidogo laki mbili yangu sisahau had leo
2026-09-22 21:37:07
0
masoud.nyamafu
Masoud Nyamafu :
kwani mgomo lini
2026-09-16 05:20:59
0
To see more videos from user @godwilltruckdrive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About