Hakuna nyota kubwa zaidi ya Pesa ukiwa na pesa utasikirizwa na usipokuwa nazo laa hakuna atakaye kuheshimu
2026-09-15 06:28:20
81
mariam singh :
je hizi pete za marohani ni ukweli
2026-09-15 12:58:49
4
💓💓💓💓 :
walah shehe nimekuelewa mungu akubariki wengi tunavibwengo mimi kila siku najiuliza Ruhani/jini gani anakuzuia usiolewe, usizae na uwe na matatizo mungu atunusuru ya rabi
2026-09-15 07:00:13
21
Khadija Swaleh :
Ni kweli. Maruhani huwa na nguvu ikiwa mwenyewe ni mcha mungu. Na akikithirisha Ibadah wanamsaidia kumfungulia mambo yake.
2026-09-15 06:40:09
29
babe mama :
Ustadh umenifunza kitu kikubwa sana namshukur allah kukujalia kukupa pumzi ya kutufundisha mambo mema alah akueke
2026-09-15 06:23:30
26
jannat :
ulivyoanza sasa!!! [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-15 06:21:16
3
MamaD :
mimi nakwambia aliniambia uza kiwanja fungua duka
2026-09-15 18:45:50
2
empress kimkana :
kweli mi nna jini mchafu wallah alikua anapanda anaongea balaaa 😁😁yani kama kaweuka vile sasa sheh nifanyaj jamani
2026-09-15 12:53:10
2
arafangachoka@🥰🥰 :
ila wengine wanaopanda hao majini sio kwamba wamewaita bali ni mtihani tu kutoka kwa Mungu
2026-09-24 10:16:24
1
samira :
ruhani ni nini
2026-09-15 12:22:09
0
user6067457166224 :
nanikweli sheikh maana Mi marahani WANGU hawapandi ata nifanyiwaje bt nisali nasikia amani sana na Mambo yangu yananiendea alhamdhullilaah
2026-09-16 09:32:54
4
userAysher :
Mm subiani wangu alipandishwa kwanzia hapo hupanda nikikasrika sanaa😂😂
2026-09-15 13:49:11
2
user5930856816111 :
shekhe ukiota ndoto umenunua nyumbani lakin nyumba Ile umesahau ilipo yaani unamwambia mtu umesahau ilipo
2026-09-15 12:03:02
4
Ashantyruks :
ustadh mimi huwa naota sana maalim wangu aliyenifunza madhrasa katangulia mbele za haki iwe yamaanisha nini?