@michaeldanielg: Linda point 👉 @mbavu nene🔥🔥🚥🚥🇹🇿🇹🇿🇹🇿 @Agape kalenji ☑️🇰🇪🚚🌍🇰🇹🇿 @mamen piere🦘 @MASTER LEON💥 @Aťĥűmän̈ J̌ümä

Michael jr 🇹🇿 🚛🛣👑
Michael jr 🇹🇿 🚛🛣👑
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 05:41:55 GMT
43171
2539
146
176

Music

Download

Comments

rony_prints
Rony-Prints :
LINDA POINT 😅
2026-09-17 19:04:43
0
mulastar1
mulastar255 :
ni kubaya 😂😂
2026-09-15 15:01:03
7
roadlife160
last bullet :
apo ndo tunapo zingua lakini
2026-09-15 12:06:35
10
mamendenis0
Mamen Denis💯💥 :
Kwelii upo serious na kazi yako kak
2026-09-15 05:53:32
6
user92173849636696
William :
kwanini hawakamatwi watoa rushwa na wapokea rushwaa
2026-09-16 08:54:29
4
user6160102763835
mlwati Jafari juma :
Takukuru mko wapi rushwa inaongezeka huko barabarani mmekaa kimya
2026-09-17 06:43:22
1
user4446333237422
Eliya track driver :
hapo umezingua mkuu
2026-09-17 04:31:03
2
zachariachristian2
Baba faith & mercy💕🥰 :
Video itakugalimu hiiii mm siyo yuda lakini wa nakutafuta 🥺🥺
2026-09-16 11:15:13
2
princepailo
Prince Pailo :
Hakikisha anaekukosesha kazi unaondok nae kazini labda kosa liwe ni lako dereva ila kama kos ni la gari huwez nikata point mm lazim tuondoke wote kazin nakurecod ukiwa unachukua rushw inakuw bilabila yaan hata kama askar unaisom hyo ww jiandae😁
2026-09-15 17:59:23
6
user4694971199906
user4694971199906 :
kwahyo wewe.unamaanisha nn kwa askari?
2026-09-15 14:11:43
1
brunodamian743
Bruno Damian743 :
kabisa mazingira ya rushwa yameongezeka ....mana police ndio wamepewa mamlaka ya kutoa pointi na dereva hana cha kumfanya 😭😭😭😭
2026-09-17 10:36:04
0
mendeladmwalongo
mendeladmwalongo :
apoo umezingua kaka kwakweli yanii
2026-09-16 18:32:32
1
frankbenson00
x-boy ibarra :
kiukweli rushwa lazima itumike kulinda daah
2026-09-15 13:57:21
4
shoferiwarohans
MASTER LEON💥 :
ni kweli lakini 😂😂😂
2026-09-15 15:55:27
0
brand.tz2
Brand tz :
Apo unafeli mwanetu
2026-09-15 12:09:26
1
stanleyfocas2
stanleyfocas :
police walafi watajenga kipindi iki
2026-09-15 14:31:47
2
msudan011
MSUDAN 01 :
Unafeli wapi kaka hii futa kaka
2026-09-15 16:40:28
1
stanleyfocas2
stanleyfocas :
ila izo faini zitapungua sana mimi nataka nitembee na takukuru na mficha nyuma aki walai tutapunguzana
2026-09-15 14:33:04
2
atasa977
$$ :
nakubali mkuu💥💥
2026-09-17 18:13:34
0
fredrickmesoya
fredrickmesoya :
code
2026-09-17 19:08:55
0
user6788584500220
MPENDAKAZI GR :
Mwanangu hapo umeharibu
2026-09-18 15:33:00
0
saidingende1
Ngende :
Ndio ukweli huu kama unabisha ingia road
2026-09-18 11:18:07
0
cornelicalisti
Coneli Calisti :
hzo hazitoshi
2026-09-18 02:45:57
0
farijalajuma
farijalajuma :
nimecheka sana jamn
2026-09-19 07:25:02
0
georgeallyen
Allyen🌴🌴 :
2026-09-15 06:57:17
0
To see more videos from user @michaeldanielg, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About