Guys asiwadanganye iyo ndimu ni acid na soda ni base so iyo ni science how good science it is if u agree like here my dear scientists
2026-09-16 19:38:14
2
papi95 :
kuharibua ndo nn na ww bn [Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-16 08:12:56
1
Smile😁Tz🇹🇿 :
mliokua mnasubir mazala ya pepsi kama mimi like hapa🤣🤣
2026-09-15 13:51:54
500
Teacher Dully :
mm nilisema hii nchi tangu October 29 watu hatuko sawa
2026-09-15 12:38:33
162
Kyser Luxe Collection :
I trusted you 😂💔
2026-09-16 19:25:29
1
zedy killer :
chiz ww umenimalizia bando bure[Tears of joy]
2026-09-15 09:13:51
9
Password mjeuri😠🤟 :
najuta kuangalia mpaka mwisho 😏
2026-09-15 14:13:18
74
🦋Medical 🩷🏨💊💉 :
ninavyoipenda peps kidogo niseme nimeisha😂😂😂😂
2026-09-16 04:53:56
32
ᥫ᭡𝔇𝔬𝔩𝔩𝔶𝔣𝔞𝔠𝔢 🧸💞🦋 :
cheers
2026-09-15 22:34:07
0
Herrieth musa :
si nikajua kweli Kuna madharaa
2026-09-16 07:48:08
16
arasaa :
asa si tunakunywa Pepsi co na limao
2026-09-16 05:51:10
8
zuhura🥰🥰🥰🥰 :
😁😁😁Asante sana kaka kwakuni pote zea mda wangu🙌🏻🙌🏻
2026-09-16 10:55:09
9
🥰Naah💞 :
duuh najuta kuangalia mpka mwisho maan katuweza huyu baba 😂😂😂 nikajua anaongea point
2026-09-15 20:10:36
10
mr tizo@ :
Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.
2026-09-15 18:55:59
14
user10605261665 :
izo ni reaction tu [Tears of joy]
2026-09-15 15:45:27
0
dogo Santos :
Tz ndo nchi pekee hata kama nikisema vocodam watu watasoma Vodacom 😂
2026-09-15 15:28:54
13
Cute Ag❤ :
Mliokuw mnayasubiri madhara ya pepsi kama mm like hapa
2026-09-16 17:35:21
13
HusseinDHM🇮🇷🇮🇷 + follow :
Asa Pepsi upate ukiwa umetoka kunywa supu na chapati mbili [Snicker][Snicker]
2026-09-15 11:57:55
9
I'm Gift❤️💯📍 :
Bora nimesoma comment mana ningepoteza mda kuangalia ad mwisho😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-15 21:21:19
6
diafashion :
nilianza kulia mimi
2026-09-16 13:50:40
1
Ndege_John :
madhara ya peps
2026-09-15 14:12:51
2
Zawadi Richard :
ila hata pepusi
2026-09-16 17:03:52
2
ma p :
nisipokunywa Pepsi ntakunywa nini tena
2026-09-16 18:54:51
1
Fabro Star 🌟 :
umesema kuchanganya na ndimu sasa umeweka limau 🫵🫵
2026-09-16 19:51:56
2
To see more videos from user @bigbom112, please go to the Tikwm
homepage.