@mirimollel: #firstvideo #fypシ #arushatanzania #goviral #mwanachuofamily @🦋Aggy🦋 @phyner_318 @~cutie @lucky💫💫 @Leyyy 🌺🌺

Mars Mollel
Mars Mollel
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 05:57:20 GMT
92628
3656
184
674

Music

Download

Comments

frank.25106
Frank @25🇹🇿🌍💫💫 :
Wambie kabsa,tukifikaga chuo waga tunajisahau ukifika chuo we just mind u're business
2026-09-15 07:21:05
39
tenbext.junior
Tenbext junior :
sister we kabila gani
2026-10-05 13:45:25
0
dizzomaker_facts
Dizzo Maker collection ⛎ :
Nipo T.I.A lakini sinaga marafiki kbsa ni mimi na simu yangu tu
2026-09-16 01:57:03
26
user6179720081610
Mr pytmansighin :
naomba kuuliza dada et kama siku unaumwa unaombaje ruhusa
2026-09-15 09:57:13
8
0740j107313
Kapondo J 🇹🇿 :
naisave hii kwa ajili ya binti yangu
2026-09-15 23:43:06
11
miss_ney37
Miss_Ney 💕 :
sis kwa elimu unayotupa hatuna cha kukulipa ila M/Mungu atakulipa 🥰🥰
2026-09-15 10:45:34
28
dios_kory
Legend !🇹🇿 :
Ni mara chache sana kupata ujumbe kama hizi kwa wenye umri kama wa kwako kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa !! Hongera sana sana na mwenye masikio na asikie..💯
2026-09-17 05:08:25
10
petty.lee7
it's- melalin🍓🥰 :
uwiiiiiii first year pale saut mwanza nlkuaga nauguza kaka angu bugando cku ameruhusiwa nkawa nafatilia fail lake jamaniii nkawa namtafuta factor mmoja nkapanda ngazi wanapochukua dawaaa nkawaona wanafunzi kama wa3 nawaonaga chuoo nikasema sawa hawa wana wapenz na sio mmoja na wale wana wapenz na wao wana wapenz 😂😂
2026-09-15 11:19:52
12
mwanza2025
loycenicolao119 :
kabisa.....umeongea vizuri dada..wafundishe vijana wenzako
2026-09-15 14:08:56
8
hans_perez_
Hassanblack🇳🇴🇹🇿 :
kwakweli dada umetukumbusha vijana vyema
2026-09-17 08:25:48
1
cute_rau5
Rauhia :
Dada angu ni askari kaniambia hiii kitu
2026-09-15 19:16:42
6
simbaya19
EvanceJr Simba :
Ni Mungu pekee ndo anakutumia kufikisha ujumbe huu kwa vijana wengi wanaenda Chuo . Wakubali kuwa washamba na siyo wajuaji [Pray]
2026-09-16 21:25:40
6
aiem_fetty
💜Aiem….fetty💜 :
Aan chuo jmn cyo hta pakuacha maji uje unywe baadae uwiii mm🥺😳😳
2026-09-15 06:15:14
6
user4712779024175
user4712779024175 :
mama yangu mambo umenijua baba wa happy
2026-09-23 02:49:52
0
user8000875078255
Lastborn :
😔 nimekuwa wamfano tayari😭😭😭😭
2026-09-16 17:04:00
0
user4751596930482
grace model :
Dunia haina huruma. well said
2026-09-17 11:45:57
1
kakachone95
kakachone :
Kwa nguvu unazotumia wasipokuelewa basi siyo fungu lao
2026-09-18 18:08:07
2
happy.happier05
Happy Manka :
Nakupenda sana mwanangu
2026-09-16 17:51:37
0
user3320763876794
felician :
real fact
2026-09-15 21:16:39
1
musti_depuncher
Musti🧒de puncher👊 :
Only God will reward ue for this,,,♥️♥️♥️
2026-09-15 11:05:14
4
user7612246563755oneday
mysala💕🔐🩷 :
siyo chuo tu ndug Zang hata mtaani wapo Tena sana naukimuonaa ni MTU yupo smart vby mno nyie hapn
2026-09-15 20:25:12
3
ombenimorogoro
OMBENI MOBILE SHOP MOROGORO :
Waambie dada Angu 👏👏👏 watu hawajui washajisahau
2026-09-17 01:16:16
1
ritha_552
ritha_55 :
Nimependa kwa sababu umewapa wenzako darasa🥰🥰
2026-09-16 12:55:09
1
hussle_255
Huncho_hussle :
Nakupenda bure tu dada angu 🔥👊🏽
2026-09-15 16:30:00
3
scent_by_.maryam
Maryam scents🌸 :
Hivi mfano sisi wa afya ile trh 21 ambsyo ndo siku ya kureport tunaenda af tunabaki huko huko au tunaenda tu kureport tunarud mpk trh 19
2026-09-15 08:36:56
3
To see more videos from user @mirimollel, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About