@kassati05: 😅😅😅#Nostalgia#Oldschool#Memories#90skids#2000skids@100000000000million

Kassati05
Kassati05
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 05:59:09 GMT
83819
3957
330
506

Music

Download

Comments

madmanfx
🅑🅘🅛🅛🅘🅞🅝🅐🅘🅡🅔 🅚🅘🅓 :
Sitaki kuamin mlio wa ti ti ti tiii ndio ulikuwa unaniamsha saiv alarm kama mziki na siamki[Big LOL][Big LOL][Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-09-15 18:08:14
0
masterdieng1215
DIENG :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] Tupo wengi Tupo wengi
2026-09-15 08:46:20
0
djramseytz
DJ RAMSEY TZ :
nilipenda rangi ya taa lake kila mda nilikuwa nawasha
2026-09-15 08:29:17
58
jenyjeny54
jenyjeny :
weeew sio hizo nizile zenye calculator wwee😳😳
2026-09-15 18:57:21
0
m.sjose5
pretty 🦋 girl :
me adi nilikabidhiwa na mkuu wa shule kwasababu ya kuwa time keeper
2026-09-15 08:49:14
69
user7612246563755oneday
mysala💕🔐🩷 :
nishaaamaa zamn maana [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] nyumbn walikuwa radhi wasipatee mboga ila Mimi nilitakaa hii saaa ya 1500 niiatee hapo nakuwa nalia kila mdaa[Tears of joy][Tears of joy][Red heart]
2026-09-15 10:43:55
1
missmarry601
Miss Marry💕💕 :
Ndy mazeee
2026-09-15 08:23:14
1
nyangi2022
💜Nyangi💜💜 :
naile ya calculator[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-15 17:37:21
0
iyaaaan212
kizzy :
ukiipiga kofi inasema saa 12:00
2026-09-15 11:56:02
15
agness.alex20
agness :
nilinunua primary huwez amin nikapew na ukiranj wa time keeper enz hiz mt akivaa anaonekan wakishua🤣🤣🤣
2026-09-15 10:07:33
34
bright_next_level
BRIGHT_NEXT_LEVEL :
Alafu uweke na alarm😂😂😂😂
2026-09-15 18:26:10
8
chardybeezey
chady beezey :
🤣🤣🤣 Duuh kitambo sana alaf inawaka waka rang nyingi 🤣🤣🤣🤣
2026-09-15 08:42:45
21
candy.evarist
candy evarist :
hahahah ila hizo saa lkn siondoki
2026-09-15 07:44:44
6
user3440997602220
Gabriel kimario :
m nlikuwa mpaka nishakuwa fundi wa kuzitengeneza
2026-09-15 17:17:27
7
xuleally
xule ⚽🏴‍☠️🤬 :
ilinichukua mwez mmoja kuweka akiba kwaajil ya hiyo saa😂😂😂
2026-09-15 12:17:20
12
felixjr185
lolydls :
nipo darasa la 5 mda wote watu saiz saa ngapi 😂😂
2026-09-15 08:53:43
6
sneiyah1
kim nana🤦‍♀️ :
kipindi hicho unaonekana tajiri kweli shuleni
2026-09-15 08:05:22
11
edina.kenani2
edina kenani :
naondoka kwa wazazi naamia kanisani nyumbani kwa baba yangu najua haez nifukuza😁😁
2026-09-15 15:52:33
6
misanalaban1
San 27,,HD+ :
Shulen kwet Shule ya msingi huwez kuwa time keeper bila kua na huyo saa
2026-09-15 08:01:40
7
user4314563030221
Cupcake :
nlinunuaga 1000 mm 2015
2026-09-15 18:57:43
0
user4442624748738
Hassan mbwal :
daah enzi io time keeper nilikua nijona nimetobooa🤣
2026-09-15 19:11:35
0
japhetmwakilasi
Japhet Mwakilasi :
🤣🤣🤣🤣 nilikuwa naitegesha aram mwenyew 🤣🤣🤣🤣 alafu mikanda yake ukitak unatoa waliniibia walibakisha mikandaa tuu🤣🤣🤣🤣🤣 MAJIMATITU PRIMARY KIBIKOOO🤣🤣🤣🤣
2026-09-15 10:23:37
3
edprintersolution
ED PRINTER SOLUTION :
niondoke ili iweje unajua Raha ya Kula bure wewe 😂😂😂
2026-09-15 10:50:34
4
anamerrymboza
[email protected] :
na ukiamua unatoa mikanda unaweka kwenye mkebe upo
2026-09-15 09:01:35
2
katushabebakilana2
L K B :
🤣🤣🤣🤣🤣 wazee wenzangu mpo
2026-09-15 15:34:30
1
To see more videos from user @kassati05, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About