@dr.jessy09: Fanta hivi Ukitoka kujifungua#foryou #fypage #babyboy💙👶🏻

Dr Jessy
Dr Jessy
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 06:24:19 GMT
79658
4306
136
418

Music

Download

Comments

dafrosa33
Be smart always :
Mimi navaagga sidiria kabisa 🤣🤣kila nikizaa
2026-09-15 07:35:12
21
mimi10726
martha :
3rd degree perineal tear... lini nianze kujihusisha?
2026-09-15 16:20:26
0
binti_chitwanga
Binti_chitwanga :
na ukijifungua kwa uperesheni unaaza kushiriki tendo baada ya miezi mingapi tupeane ushauri wazazi wezangu
2026-09-15 08:14:26
7
l3laa59
l3ylaa59 :
dr jessy nina miez 8 tangu nijifungue kwa operation saiv nna ujauzito wa week 4 nmepagawa
2026-09-16 08:03:14
2
user806135223851
My G :
Dr samahan m kila nikinyonyesha chuchu zangu napata maumivu makali mpka nachisha kunyonya hii imekaaje
2026-09-16 17:43:41
0
user3783481854526
Ecstasy G :
hata bila kujifungua hakun kunyonya maziwa yangu khaaa
2026-09-15 08:41:17
7
user7380628467759
Suzan, :
☺️☺️☺️☺️☺️my heart 💔
2026-09-15 11:40:52
0
rawdhwatheena
Rawdhwat heena make up :
Mimi ndo nimemaliza 40 jana lakin sipendi kufanya tendo la ndoa kila nikilifikiria nakasirika na ndo natakiwa niende kwangu 😭
2026-09-16 07:19:42
2
monicamjaluo338
monicamjaluo🇹🇿 :
miezi 4 mwanangu ila ata nyege Sina 😀😀😀😀😀
2026-09-16 09:09:12
0
alhajjqahtan
Ummu Qahthani🥰 :
mm mtoto alikataa kunyonya kwaiyo maziwa yalikataa pia mume wangu asininyonye ile sijawah fanya tendo tangu nijifungue miezi m3 now
2026-09-15 13:06:27
1
happy.hassan72
boy's mom ❤ :
Uki toka kujifungua ni baada ya miezi ngapi ndo uta shiriki tendo na mume wako ?
2026-09-15 09:23:59
1
kidawapochi
kidawa pochi 👜 :
mpenz naomb kujua wale wa op week ngap unatakiwa kufanyiwa op
2026-09-15 12:58:55
1
tabithaswash
🤍❣️Thaswash😜🤪💖🤍🔥 :
mimi navaa braa sitaki mchezoo😂😂
2026-09-15 12:45:11
1
isha.juma5
isha juma :
mamaaaaaaaaaaah kimeumanaaa ila mm nilimwambia lkn
2026-09-15 12:59:48
4
halozek
Hlozekh😎 :
Me naenda miezi miwili xx tangu nijifungue kwa cs cjaungia period mpk Leo
2026-09-15 21:14:02
0
ma.wawily
Miss dee :
da jesy nisaidie naingia period marambili kwa mwez
2026-09-15 07:51:48
2
light4real2
light4real2🇹🇿🇺🇸 :
kwanza wanaruhusiwa kufanya mapenz baada ya muda gan ukishajifungua😂
2026-09-15 12:29:13
1
nicesteven2
nice one@❤️ :
ngoja ninyamaze tu hua hujibu mesg😭🙌
2026-09-15 07:46:27
1
brit.and.nanjy
Queen D :
mimi kipindi tu napata ujauzito maziwa nayaskia kwa umbali ujauzito ukiwa miezi mitatu...hata kushikwa matiti sitaki maana maziwa yakitoka akishikashika inaeza sababisha contractions kwa hiyo matiti atayapata mtoto akiacha kunyonya baada ya kuzaliwa
2026-09-15 08:34:20
1
farida1d
mummie davie🤱 :
Bora umeongea daktari Asante jaman na Hawa wanaume wawe wanasikiliza jaman khaaaaaa
2026-09-16 02:08:09
0
doreentraves
Dorie♥️ :
Mwananguu anamwaaka na miez saba na aliacha kunyonya akiwa na mwaka na miez miwl ila baba ake ajawah nishika wala kuyanyonya ten
2026-09-16 14:42:52
0
janethemmanuel35
Janeth Emmanuel :
yan we doctor upandishwe cheo nakupenda bure unajua kutuelimisha🥰🥰🥰🥰
2026-09-16 17:26:08
0
zillahmgharo
zillahmgharo :
me nauliza nurse kama mtu aneshowa hizo stich huwa zinatoka na siku ngapi
2026-09-16 06:56:14
0
debora.idd
Debora Idd :
Kwa Huyu wangu ata ya kiss tuu
2026-09-16 05:38:03
0
kajinja
Kajinja :
fact Dkt😘
2026-09-15 06:46:30
0
To see more videos from user @dr.jessy09, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About