@unicollegeshow: Metaphysics mlikiwa mnamtaka haya huyu apa mnaelewa philosophy au mnashangaa Kama Mimi tuu😂😂🙌🙌 Powered by @unicollegeshow x @ubepari_pc #vimbakichuochuo
the more u study.....the more u left u ar mind behind reality 😅😂🤣
2026-09-15 14:46:26
11
MRCHIDDY :
hakuna mkali wa physics wote wachumba tu 🤣
2026-09-16 19:19:23
12
Stelinsky :
“Tesla “baba 🙌🙌 this was another person ila tu ndo ivo alikuw na vtu ambavyo vinaharibu maslahi ya watu wakubwa
2026-09-15 09:57:49
20
pierre🪄 :
Mental fizicks
2026-09-15 16:39:07
3
SON🛑MAESTRO🔵 :
unajua nachek kwann 😂
2026-09-18 17:24:57
2
Highness :
jamaa nimesoma nae advance alkuwa anasoma kwa siku anapumzika masaa mawili tu😁
2026-09-16 22:32:27
7
Sajida_Shoptz :
mental physics
2026-09-15 09:59:43
6
Dr. Peter Clement Katigula :
Kwani ni Nani huyu
2026-09-15 17:46:08
1
eMagenuine auto parts & repair :
ila ukisoma sana unachangnyikiwa ukiwa hujasoma unachnganyikiwa ukiwa huna Hela unachnganyikiwa yaan hapa duniani hapa eleweki 😅😅😅😅😅
2026-09-22 08:23:38
6
jiwe kuu ...la ukombozi :
😁😁😁😁 unajua nacheka kwann
2026-09-15 08:54:45
2
Ally Msabaha :
Unamsahau galileo galilei
2026-09-15 08:23:48
6
Novichok.II :
me after hearing "wote ni wajinga"
2026-09-15 10:14:40
4
official mango :
tesla
2026-09-16 12:29:00
1
Bivoo Williams :
kwenye vipindi vya uyu jamaa leo ndio nime enjoi😅😂
2026-09-17 13:24:24
3
emmanuelmshanga62 :
Tesla
2026-09-15 16:01:37
2
ANKUY PROGRAM :
kuna namna tunamaliza research yetu juu ya Universe alf ntaomba kukutana na ww nikae mbele ya ubao wako, yaaan tukifanya masihara watu watazid kupotea walai jamaa yupo sahihi ila namna anavowasilisha inafanya watu washindwe kumuelewa ila hope tutafika Tu, kikubwa tusiache kuskilizana binadam tunamaarifa Sisi wenyewe wala hayapo mbali
2026-09-15 10:35:35
2
𝔻𝕆ℕ𝕐🔵 :
Nakubali
2026-09-15 07:29:58
1
Mike Makundi :
hivi kuna asie cheka😅
2026-09-15 10:39:32
2
MPOUJA_SENIOUR :
😂😂😂Et NINIII?😂😂😂
2026-09-15 07:55:59
1
teja wa soka👑 :
mmeanza kuaribu kipind
2026-09-22 19:05:24
0
To see more videos from user @unicollegeshow, please go to the Tikwm
homepage.