@trtafrikasw: Kabla ya mkutano wa BRICS nchini India, makazi ya watu wenye kipato cha chini kusini mwa Delhi yalifunikwa kwa mabango na vizuizi ili yasionekane kirahisi kwa wageni wanaopita eneo hilo. Lakini swali ni hili: Je, kuficha umasikini kunatatua tatizo, au kunaficha tu hali halisi ya maisha ya watu?

TRT Afrika Swahili
TRT Afrika Swahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 06:59:20 GMT
21891
1176
23
42

Music

Download

Comments

user3407366173022
Alhikma bin Nassor :
Mungu tusaidie maskini tunadharaulika sana duniani, baada ya kuboresha maisha umaskini ukaondoka sasa wanafichwa, kwanini wasiwauwe
2026-09-15 10:56:30
7
diriijeta
DIRI IJETA :
Wangefanya maendeleo hapo kuliko kuficha Kila siku
2026-09-15 07:08:59
29
elieeway
Elie Way :
Bado sisi afcon😅
2026-09-15 10:28:01
0
a.a.mwakaghali
A. A. Mwakaghali :
Ikiwa serikali inaona eneo Hilo linawatia aibu, basi ikiwa wanashirika la nyumba la Taifa walinunue kutoka kwa wamiliki na walijenge vizurii watakavyo wao ili siku zijazo lisiwatie aibu tenaa
2026-09-15 11:51:10
2
wahida.muhsin.hus
muhsin wahida hussein :
😁😁😁😁😁😁 sijui tutafunikwa na Nini
2026-09-15 12:09:52
1
kipalahiog
Kipalahi OG :
bro hata bongo imetokea
2026-09-15 13:39:49
0
mtui284
Riziki Mtui :
Dunia ina kazi sana
2026-09-15 09:48:26
0
muhammadramadh820
محمد إبن رمصان محمد✨ :
Subhanna llah #uwongozi ni dhamana kubwa sana
2026-09-15 10:50:41
0
kelvinmgalatz
Official Viny Tz :
hatari sana
2026-09-15 09:05:34
0
paul12tz
@Paul001 :
daah
2026-09-15 08:21:18
0
kamotejrh50
jr kamote :
nchi nyingi za bricks ndivyo zilivyo halafu utaskia mkuu wetu hana deni
2026-09-15 08:57:08
2
biancaevaristo888
Bianca Evaristo. :
duuh hatari sana
2026-09-15 08:54:42
0
dinhaji
dinhaji_43 :
daa
2026-09-15 08:01:57
0
kevinphilipsm
Kevin Philips Momanyi :
Duuh
2026-09-15 07:37:02
0
michuki.junior3
Michuki Junior :
That's why I support affordable housing in Kenya👍🏿👍🏿
2026-09-15 09:00:36
3
sompo1474
Tsitsitsi 🧄🍯 :
Bora ao walipona uku ni pyu pyu pyu
2026-09-15 12:52:42
0
dani88ac
💞#DANI_LIFESTYLE💫 :
Nchi masikini zote zina tabia kandamizi... Mfano hata Tz kule tegeta wafanya biashara wanalia na mengi
2026-09-15 10:24:18
0
gwaki.masetta
Gwaki Masetta :
Like India Like Africa [Snicker]
2026-09-15 12:01:09
0
To see more videos from user @trtafrikasw, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About