Wallah habibty ndoa za kucheleweshwa mtihn, binafsi yngu nimeposwa tangu 2024 niliekeshwa ndoa inafungwa mwaka huu mwezi wa 12 InshaAllah lkn iyo migogoro nnayopitia Allah nd anaejua husda nying wallah.
2026-09-15 15:51:17
15
Abdulkadir Mkubwa :
Duh kweli inasikitisha sana
2026-09-15 14:14:05
8
Ozalima😜✌️ :
acha ni save hii vedio kwa ajili ya mama yangu ,, ni kahajui kuna hasad mmi naishi nikimwambia nataka niende kwa kadhi tu hata family wasijuee anajifanya haipendezi
2026-09-16 05:48:12
1
zulfikarebrahim :
Asalam aleikum
Upo sahihi hata Dini inasema hivyo
2026-09-15 15:05:19
8
ARIES GAL❤️🔥🔥 :
hii ilinijuta kuna mtu alitakaga kunioa kwao wakasema bado muda tusubir baada ya mwaka tumegombana asaiv hata akifa siwez enda msiban kwake🥺😌Yalitokea mengi mnoo drama kibao
2026-09-15 14:34:47
25
tumer store :
kipenz unachosem ni mim ndoa mwenz wa kumi na moja lakn toka tutoke kufany uchumb nyumbn tumerud mjin kila siku tunagomban adi tunatak kuvunja uchumbaa hii video imenifungua sana
2026-09-15 17:11:07
10
First lady 🌸 :
Mimi ndo mana nataka vitu simple,Sina haja na hekaheka .
2026-09-15 14:49:54
6
halymer🦋 :
Nina shangazi yangu huyo Atari ukimwambya tu Una boyfriend jmn anatangaza ukoo mzima baadhi ya mabinti zake tunajua maisha yao kuanzia uchumba wa wanaume zao, ndoa mpak kuachan na huwa hatumuulizi ni yeye akifika anajimaliza familia nzima
2026-09-15 13:50:26
13
tee ♋️ 🦀 :
Mimi sijasubiri dada Yani chap na mahali katoa baada ya ndoa, yani ilikuwa ya wazazi tu kimya kimya then tukawaambia ndugu ni siku ya mahali, baada ya hapo ndo tumetangaza harusi mwezi wa 11, hapa Nimesubili sherehe ni mwezi wa 11 ndo tuko kwenye maandalizi
2026-09-15 12:41:06
5
smaller angel :
😔😔😔mm napitia hi saiii kabsaa unaongea na mm wallah
2026-09-15 21:02:33
1
chamy baby :
dah🥺
2026-09-15 16:32:15
2
YUNUS BAKAR :
mimi nna swali moja kukuhusu wewe vipi je wewe kushaolewa au bado
2026-09-16 01:20:34
1
umyma :
kipenzi plg abaya lako nimelipenda mashallah
2026-09-16 05:11:39
1
beyda_orthotech :
: Mimi nliolewa kwa kadhi immediately after a private posa….. Other relatives waliniona tu nikiwa mja mzito wakasema nliolewa n mimba kisa hawakushuhudia ndoa😁😁Sikutaka kufnya sherehe ila ma shangazi walinifanyia ya kutolewa nje nkiwa tayari ndoani Mwezi wa sita.
2026-09-16 04:15:51
2
To see more videos from user @shammy_cosmetcs.tz, please go to the Tikwm
homepage.