kasomo suratul kaithar, aya ya pili, inasema ,basi sali kwa ajili ya mola wako na uchinje kwa ajili ya mola wako na kila utakalo lifanya lifanye kwa ajili ya mola wako, ,sali je mola yupo anae kusudiwa ,ni yesu au Allah, pili wakichinja wanasema bissmillah, naomba jibu
2026-09-16 03:27:48
6
medilick sipiliani :
shekhe nilikua najua una point kumbe amna kitu
2026-09-16 07:08:47
3
eliya 👑🤝 :
sisi wakristo mbn tunawaita . masher kwa upendo ili tuwe wote