kuna sie tulinyolewa na mkasi alafu nyewele kichwani kunamchanga na mkasi ni butu yaan mazaa akinyoa mkasi unafinya mpka ukimaliza kunyoa kichwa kinauma dah
2026-09-15 08:02:50
7
winfrida kaminyoge :
duh umenkumbusha mbar
2026-09-15 13:24:02
5
Effect sixes :
mkuu unanikumbuxha machule kinoma
2026-09-15 11:38:42
14
bahati joseph :
mpaka na wembe tumenyolewa
2026-09-15 14:13:21
9
aminatundondege :
🤣🤣🤣🤣🤣 hatarii 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-17 19:13:14
1
user4636518696878 :
ila wew
2026-10-23 20:19:24
1
lilipopoo :
kaskazini oyeee
2026-09-19 09:04:49
3
yahaya :
tupo mkuu
2026-09-25 19:08:58
2
Eno /D :
nilijipaka samuli walahiii😂
2026-09-18 07:51:45
2
Munira Fadhiri :
kweli kabisa ila watoto wasasa hawaelew
2026-09-15 18:39:37
2
Neema Daniel6 :
jmn wew kaka unanivunja mbav zangu 🤣🤣🤣🤣
2026-10-01 14:49:06
2
Melubo Moson :
Sema bro old is gold asee
2026-09-15 15:42:19
2
Pop smoke :
mi toka ni mezaliwa nikipara mwanzo mwisho sijuhi ata saloni Iko wap
2026-09-18 07:51:48
2
hurumaa :
ila bro we nomaaa [Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-09-15 08:26:09
2
neytonny :
nilikua nalia mm jaman😭 njia za panya😁😂
2026-09-15 12:11:18
2
Ashmy,,,katoto :
ila bro bas tu
2026-09-15 08:06:57
2
baby 💖❣️ :
2026-09-15 08:30:57
2
G bby❤️ :
eeh nimecheka kwa nguvu
2026-09-15 07:24:57
2
IRELLA COLLECTION :
kaka angu unaongea kama unaniongelea ❤️
2026-09-15 08:28:23
2
Ba Hajraty Kisua :
hahahahaahahahahahahaha
2026-10-23 08:57:44
1
To see more videos from user @alisambajo, please go to the Tikwm
homepage.