@marley_.maxwel.ba: Offer Zingine Mwecheche😭😂

M𝗮𝗿𝗹𝗲𝘆𓂺
M𝗮𝗿𝗹𝗲𝘆𓂺
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 15 September 2026 07:17:03 GMT
59792
10508
71
2686

Music

Download

Comments

jancy0024
jancy :
nishailipa 60 kutoka town to Westlands asubuhi😂😭😭😭😭 nilimhurumia
2026-09-15 12:19:48
216
rakeem8159
RAKEEM 🌴 :
si driver ni Rider
2026-09-15 09:58:41
41
feisalabdulahi0
feisalabdulahi0 :
Bolt wanlipa maderva hiyo discount, ni uber hawalipi
2026-09-15 08:34:57
75
tevinmacharia
Tevin Macharia Mukabana :
Wachana na hata offer ,Bolt wanaongezea mtu prices ..unafika kwenye unaenda unapata price unalipa sii the same ...Hapa ndio wanataka tupigane na drivers
2026-09-15 15:25:34
7
soniapatrick8
queen_sonia👑🤍 :
watoe hizo discount to ju wanaongeanga vibaya😅
2026-09-15 15:39:50
2
miss.husky
Its.husky🍒🖤 :
kuna mwenye alikataa kunibeba juu niko na offer😂😭😭
2026-09-15 14:17:59
4
nellynatasha34
Nelly/Natasha💌👑 :
literally me 😅
2026-09-15 14:37:02
1
nii.mony
Nii Mony :
funny enough hiyo pesa Huwa wanawekewa na bolt kwa app yao😏si aty Huwa inaendaa tu hivo
2026-09-15 08:35:36
6
irving1049
keem :
dere atasema njia imekua mbaya alafu utapewa negative Kwa account yako 😂
2026-09-15 15:18:52
2
nyerianprince1
💫AMØRE🌴🌴 :
Me I pay first then ndo nauliza.most of uber drivers husema uwatip kwanza
2026-09-15 16:08:55
2
your_.princess22
NARIS💅💋 :
Walahi 😂😂😂
2026-09-15 12:03:22
2
manadonali6
Gåüchó Ådiöss :
iskue ni Mimi utrust😅
2026-09-15 09:20:45
4
wamathai
Wamathai 🇰🇪 :
Life threatening discounts
2026-09-15 13:37:54
1
lenno_10_
Lenno :
mm na 90% discount😂
2026-09-15 16:40:54
0
maggiebountiful
Maggie 🇰🇪 :
usitake jua
2026-09-15 11:34:54
0
To see more videos from user @marley_.maxwel.ba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About