@balqs026: #flypシ #viralvideo #balqsbintsuleh #alhamdulillah❤️ @TikTok

Balqis bint suleh_backup
Balqis bint suleh_backup
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 07:24:46 GMT
71969
8012
164
279

Music

Download

Comments

maulid2100
Maulid210's :
Wala Msiwauwe Wana Wenu kwa kuogopa Umaskinii na wala Msizini na msiue nafsi iliyoharamishwa kuuwawa
2026-09-16 09:55:52
45
mkamba08
abdillahmkamba :
mi naomba nimjue msomaji
2026-09-15 12:00:40
22
meddy_glowup_store.09
Meddy abdillahy :
“Wala msiwaue watoto wenu kwa kuogopa umasikini. Sisi tunawaruzuku wao na nyinyi. Hakika kuwaua kwao ni kosa kubwa.” 📖 Al-Isra 17:31
2026-09-16 13:06:42
28
user8416120836588
sir blood :
allah subhaanahu wataala anasema(ILA ASILI YAKE AKIWAAMBIA WASHIRIKINA WA MAKKA LAKIN NI SHERIA KWA UMMAT MUHAMMADI WOOTE ) kuwa ,maelezo- yaan washilikina wa makka walikuwa wanaitikadi kuwa mtu akiwa na watoto wengi inapelekea kuwa masikini au kutoendelea kimaisha ndo allah subhaanahu wataala akawashushia aya hii
2026-09-15 16:18:02
13
mo.sahal001
mo.sahal001 :
And do not kill your children for fear of poverty. We provide for them and for you. Indeed, their killing is ever a great sin.
2026-09-15 18:25:19
8
abdallahhalfan870
Abdallah Halfan :
Msomaji anaitwaje jamani?
2026-09-15 18:59:25
10
user235100633539
salim shedrack yusuph LIPIPA :
hakuna kisomo kizuri kukisoma au kukisikiliza kama QUR AN al kariim
2026-09-15 18:09:31
18
abubakry528
Abubakry :
mm naomba jina la sheikh alosoma hi quran
2026-09-15 18:26:17
3
yakubu45554
Yakubu4555 :
Natamani kupata mwanamke wakujistiri kama ivi
2026-09-16 05:43:27
1
mwinyisharifu
mwinyisharifu :
Wala usiyafate usiyo na ujuzi nayo hakika masikio na macho na moyo hivyo vyote vitasailiwa
2026-09-17 10:55:00
5
jrugando7
Winga Umeme :
Wala msiwauwe wana wenu kwa kuogopa umaskinii na wala msizini na msiue nafsi iliyoharamishwa kuuwawa
2026-09-15 15:28:17
41
yusuphsulleyman
yusuphsulleyman :
mashaallah 🙏
2026-09-18 12:06:30
1
mbembamajirani
Ibn Rashidi Hassani :
LAA! ILAHA ILLA LLAHU 🥰🥰🥰
2026-09-15 21:43:06
2
duda.mastar
Duda Mastar 🤦‍♂️ :
Inakatza kuuqa wana. Na inakataza Kuikaria zina. Na kila mali za mayatima[Pray]
2026-09-17 11:28:38
4
hussein.hussein7542
Hussein Hussein :
Mashallha
2026-09-17 09:55:07
1
jumalambert968
Juma Lambert :
Allahu Akbar
2026-09-16 14:39:49
3
hassan.msangi8
hassan msangi :
mashallah
2026-09-17 14:53:31
2
sanumnyama
sanumnyama :
Wala msiwauwe wana wenu kwa kuogopa umaskinii na wala msizini na msiue nafsi iliyoharamishwa kuuwawa
2026-09-20 06:07:44
6
user9817816855814
Muu Jr :
hiyo ni mambo saba aliyoyataja Allah ktk suratu Isla 1. msiwauwe watoto zenu kwakuogopea njaa 2 msikaribie zinaa akika ni uchafu 3 msisogolee mali ya yatima 4 msiuwe nafsi isiyokua na atia 5 msiongelee kitu ambacho hamna elimu nacho 6. na muogopeni ahadi na 7. na msitembee juu ya ardhi kwa malingo maana hata mkitembea kwa madaa amuwezi ididimisha ardh na amuwezi izidi ulefu milima. wallahu ahlam
2026-09-17 10:38:05
6
user39080510994831
salim💫 :
Machalaa 🙏
2026-09-16 19:18:45
2
yunuskhamis16
Yunus Khamis :
ALLAH AKBAR KABIRAH WASUBHANAULLAH BUKRATA WASWILAH
2026-09-16 19:34:34
2
nurudinijuma453
Nurudini Juma :
shekhe wangu Hassan swaleh
2026-09-15 18:58:22
2
haruna.magao
Haruna Magao :
masha allah
2026-09-15 15:01:59
2
amour.khamis5
Amour Khamis :
ALLAHU AKBAR
2026-09-16 04:42:46
2
hajiussi845
CAMANDA MITUMBA :
mashaallah
2026-09-16 11:50:15
1
To see more videos from user @balqs026, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About