Sababu nn semeni ukweli huwezi kufungiwa bilasababu serikali sio machizi
2026-09-15 09:24:17
31
Officialmicky :
road reserve
2026-09-15 11:44:59
0
Neema said :
sa tukale wapi
2026-09-15 11:38:06
0
aim minaah :
hiii tegeta🥺🥺🥺
2026-09-15 10:14:27
0
ahmada khatibu omarii :
poleni sna
2026-09-15 11:33:01
0
PHINA ❤️🍫🫵 :
Poleni
2026-09-15 11:40:57
0
Miss Yori ❤️ :
Kwa nini wasifunge tangu usiku ili mtu ikija tu ujuwe kabisa Leo hakuna biashara
2026-09-15 09:33:08
12
kibinyagaNi Tz :
tanzania akuna haki na akuna selikali na izi ni dalili za kiama
2026-09-15 10:39:55
4
GODSON :
semeni na chanzo cha hilo,lazima kuna tatizo mahali
2026-09-15 08:10:57
17
alvin deus :
safi sana samia kumi tena😁😁😁
2026-09-15 10:34:09
2
Veetamtam bakery 🧁 :
ila jmn wanashindwa kumwambia leo uzeni kesho msifunguee sasa hivyo vitu wapeleke wapi 🥲🥲🥲
2026-09-15 09:20:26
5
tuma bby :
hapa tusilaumu serekali tujue kwanza kosa nini huwenda mulipewa taarifa kabla ya serekali kutenda hili haiwezekani mufungiwe tu,ipo sababu ya kufungiwa kwa hii biashara
2026-09-15 09:21:52
7
Edisoni Mlokozi :
Apo si kinodon studio?
2026-09-15 09:32:51
1
Mudy khalid :
Yan hapo mkuu kue na Tatizo au kusiwe na Tatizo wallah nakata hizo utepe biashara nafanya ni bora wanifunge
2026-09-15 11:46:51
1
booo :
Taliesin dawa iingie watuwakiongea kuhusu siasa mnasemaga haiwahusu Mara mitano tena Aya kulachuma icho tutaelewana 2
2026-09-15 09:01:02
7
KASEMBE THE ONE 💪 :
naitwa magembe
2026-09-15 09:41:41
0
Mrs G💕😘 :
ni kweli ni hasara kubwa lkn waliofunga sio wapuuz embu tuambie kwann wamefunga? na kun kit nimeona kwet huku wamezuia wat kufanya biashar barabaran kwa lengo la kuacha mitaro ya maji wazi na eneo kubwa la barabar ikiwa ni sehemu ya kupunguza madhara ya Elnino.
2026-09-15 10:32:24
0
Rafael :
taja chanzo ni nini kwanza tujue
2026-09-15 09:19:38
2
sole :
kumbukeni wimbo wa Rose Muhando😭😭
2026-09-15 09:30:26
1
♥️♥️ MAKASI♥️♥️♥️♥️♥️ :
ccm oye mitano tena
2026-09-15 09:06:53
1
gody chambuu :
Pole next time usikimbilie kusema tuu serikali tuambie mwanzo mwisho what happen
2026-09-15 10:39:37
1
rugemalila :
Hii serikal inawaza mitano tena hakuna kingine wanawaza
2026-09-15 09:44:54
1
bonge mwepesi :
mama mitano tena
2026-09-15 10:05:24
1
To see more videos from user @mox0208, please go to the Tikwm
homepage.