jamani wangu ameshahathirika na katuni,bila ya katuni haelewi,naomba suruhisho nimfanyaje?hatulii kweli
2026-10-15 05:14:20
4
halayma33 :
alafu kuna hawa wetu wanakuja na homework 6 na wapo chekechea tunawaamsha saa tisa kuwahi shule🤣🤣🤣🤣
2026-09-15 20:18:51
20
🦋MteiDaughter💕 :
Mbna uweke nyimbo yenye sauti kushinda sauti ya Dr 😳😳😳😳
2026-09-16 07:09:34
3
john@mlz :
huo ni ukwel kbsa watt tunawaharibu na katun, Asante san mtaalam
2026-09-15 19:50:53
8
Mommy ♥️ Reyhan :
Asante sana.. na me nitaacha kumuwekea mtoto wangu katuni
2026-09-15 20:55:59
2
Baba "B" :
nimesave nitaitumia vema kwa uzao wa familia la chimbuko la ukoo wangu
2026-09-20 00:20:24
1
user4147680754461 :
safi sana boss ujumbe mzur sana
2026-09-15 10:11:01
5
@Jay kama J :
Punguza mziki mwanzo😳
2026-09-15 21:37:29
7
Sayeed💠 :
mimi hakuna mwanangu yoyote anaruhusiwa kuja na maswali nyumbani (homework). Muda wa shule ni wa shule, na muda wa nyumbani ni wa nyumbani. Kuna mambo mengine ya kumfunza mtoto Baada ya shule nyumbani
2026-09-15 22:31:20
7
Neema :
nimefata hatua zote na bado mtoro yupo gado sana yani kama ulivosema hata TV nilitoa toka nina mimba sijairudisha ila toys nyingi mpaka basi. asante sana mimi ni mama kwa mwanangu. ubarikiwe
2026-09-15 19:20:59
5
Shiana :
Wangu anaimba kabisa haha na yuko na one year daaah nimekwisha
2026-09-19 08:26:24
1
LIBRA🔐💕QEEN🦋 :
Ni kweli mwanangu wa kwanza nilimpeleka akiwa na miaka 2 nilimchanganya uyu wa sasa mbaka miaka mitano ndo ataanzaa
2026-09-16 14:54:47
2
@naah💙 :
jaman me mtoto wng bila miss rachel hatuweziii kukaaa na anamfundisha anajua vitu vingine yuko na mwaka na miezi minne so naanzaje kumuachishaaa mungu wng
2026-09-17 06:51:19
2
lips :
duuh, ss walimu tutafundisha nn jaman maana darasa la kwanza 1-10🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-17 03:40:53
2
miriamelisa75 :
aahsante Sana kwa somo zuri,, mm pia ni mwalimu upo sahihii sana
2026-09-16 11:09:02
2
Norah :
ujumbe mzuri ila sauti ya tone ipo juu, rudia kupost
2026-09-19 09:49:49
2
mima :
mh wangu mm kaenda primary anajuwa kuhesabu Hadi 100
2026-09-16 04:45:21
1
446 Qwishaa :
ila dudu baya
2026-09-21 05:44:53
1
iptyshuni :
hiyo sauti kama ya baba muheshimiwa aliyepita..
2026-09-17 06:22:45
4
Uswahili.kupendeza.pishi Pambe :
Miluzi mingi humfanya mtu kupoteza muelekeo.Yaan tiktok sasa hiv ni kama miluzi
2026-09-15 10:33:32
2
Rahabu Yohana :
Bora hata maisha ya zamani jamani mbona sisi tulikua hatuangalii katuni na tumekua ilikua full kucheza tu Ila skuiz dah!!
2026-10-22 07:26:42
1
amirijuma :
watoto wangu ili wale lazima umpatie sim yenye mdoli
2026-09-17 06:58:28
0
user8093025077486 :
najee mtoto kumfungia ndani Kwa kizazi cha Sasa inakuaje
2026-10-31 12:05:39
0
lucianyoni66 :
ahaa Sasa nimeelewa kwanini walimu wa vyuo wanalalamika wanafunzi walio wasili vyuo kipindi hiki hawana uwezo mkubwa wa kuchanganua mambo
2026-10-15 00:38:26
0
mshalethe :
safi sana
2026-09-15 18:26:11
0
To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm
homepage.