Hapa Mzee alikua na point zake ni vile sisi wazanjibari hatukumwelewa
2026-10-03 18:50:24
3
Bogalech Tafari :
Asante baba, ilikuwa genius
2026-10-14 21:39:33
0
MMBR F PLMET 20 TZ CDT UN ACTV :
Hapana unawadanganya Zanzibar ni Zanzibar tu Wacha Devide Rule yako io Ata kama watakosana pemba na Unguja lakini ni vyema wakiwa wenyew na mamlaka yao wnyewe Wacha Fitna io
2026-09-29 17:35:55
1
M :
Huo sio ubaguzi Bali ni utambulisho wa taifa kwani kabla ya Huo Muungano Watu walikaa salama na Ikawa kuna Tanganyika Na Zanzibar Kwahiyo usitishe watu ....
2026-10-13 18:20:55
0
user3961981306131 :
kwani kabla ya Muungano ZANZIBAR haikuwepo, na Wazanzibari hawakuwepo, maneno ya wizi tu lkn amini Mungu, iko siku kwa hali ilivo huu haubaki salama, separate ipo mbeleni uko
2026-09-29 04:27:13
2
monkey :
No...why Animal obey God with great obedience.. but not human being
2026-10-01 18:14:33
1
user9822931092708 :
hana llt uyo maneno mingi t
2026-09-28 13:11:06
0
Nassoro Mkwanje :
NI KWELI KABISA JINA TANGANYIKA LILILETWA NA WAKOLONI JE KABLA YA WAKOLONI TULIITWA NANI? KUUTUKUZA UTNAGANYIKA NI KWA SBB YA UWEPO WA ZANZIBAR NJE YA MUUNGANO HAKUNA SISI WATANGANYIKA KUNA WABARA NA WAPWANI
2026-10-10 05:19:02
0
DIZO :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-15 11:46:43
0
Faridi :
🥰
2026-09-30 06:52:23
0
Mbozyo mwasipenjele :
🥰🥰🥰
2026-10-04 10:20:26
0
To see more videos from user @mr_kitukuu_cha_zanzibar, please go to the Tikwm
homepage.