@kvzhabari: Uongozi wa chuo cha kijeshi pangatupu watembeleya kituo cha watoto yatima kilichopo kinduni zanzibar ( markaz lyaqiin Islamic center

kvz online tv
kvz online tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 08:15:59 GMT
27017
1346
44
7

Music

Download

Comments

azmaina2
simai aly :
mashaalla
2026-09-16 19:02:46
0
abdulhamidomar620
Abdul hamid Omar :
allah akulipen n muzid kuwasaidiy
2026-09-15 09:30:33
9
kihuu002
kiwho 🦋 :
kipo sehemu gn
2026-09-15 12:20:43
1
said.omar870
Said Omar :
HONGERA SANA K.V.Z ALLAH ATAWALIPA KHEIR .NA TAASISI ZENGINE ZA IDARA YA VIKOS VYA SMZ ZANZIBAR WAIGE NI JAMBO JEMA
2026-09-15 10:19:43
7
user31281149295662
Mkibuteny M92 :
swadakit Mashallah Makamnd mungnatubarik Aminii🥰
2026-09-15 21:58:16
1
tatusuleimanabdal
tatu suleiman abdalla da ti :
asant bab ang.wa ukubwan umeupg mwing
2026-09-15 18:35:28
2
aimar.amour.kundem
Aimar Amour kundemba fc :
ALLH BLESS 🙏kvz
2026-09-16 04:37:45
1
ashakumba
Asha :
mashaallah
2026-09-15 17:40:01
1
kvzhabari
kvz online tv :
utapewa kwa utaratibu maalum
2026-09-15 12:17:37
1
salum.said90
Salum said :
maachaallah afandi wangu issa Kwa kuwakumbuka mayatima
2026-09-16 03:35:11
1
hamad.khmis
mwalim hamad :
mashashallha
2026-09-15 17:51:46
1
mlakuku
@ 🌾mlakuku🐓🌲 :
mara watasem bidaa maan hawachelew
2026-09-15 17:43:40
1
habbtylusha
Habbty lusha Solution :
nahitaji kuwafikia pls
2026-09-15 10:10:50
2
jamalichapesa
Jamalichapessa :
nimesoma hapa umenikumbusha mbali sana
2026-09-15 16:39:28
1
user4bingo
SAID .% BINGO% borafya :
mungu amjalie kila lakher kamnd wangu
2026-09-15 19:26:09
1
mohd.hajji.bad.boy
mohd hajji bad boy :
Hongereni sana waungwana
2026-09-15 17:18:15
1
khojammisri7
Khoja Mmisri :
Allah awalipe kheri
2026-09-15 13:51:02
1
user2975910458320
user2975910458320 :
hongereni sn kikosi cha kvz na allah amjalie nguvu mkuu wa kikosi ya kvz 😊
2026-09-15 20:20:57
1
nanah5334
boss lady :
mashallah allah awazidishie elimu wadogo zetu 🤲pya pongezi kwenu Jeshi la k.v.z allah awalipe ujira wenu🤲
2026-09-15 21:04:36
1
ishaka_ame
Is-haka :
Allah atakulipeni kila heri
2026-09-15 09:48:28
2
ism0210mtepa
MTEPA0210 :
ila k.v.z mnajitahidi kila sifa mnazo nyinyi nzuri na mbaya, ila mim naijuwa kvz mwanzo mwisho na kwenye sifa za upijaji ndio kabisaa....
2026-09-16 07:58:02
0
abrahamiddi4
amy :
hongera sn afnde LT COL
2026-09-16 09:00:45
0
khamisboy1
khamis boy :
mashallah
2026-09-16 18:38:40
0
muznamassoud
HAMAS OF ZANZIBAR :
Mashallah. hongereni makamanda
2026-09-16 08:15:49
0
user2617244268142
rashidsaleh :
Assalam alaikum naomba kuliza kipo kinduni sehem gani naomba namba ya uongozi wahapo
2026-09-16 08:04:58
0
To see more videos from user @kvzhabari, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About