@lyd5556: #viralvideo #botswana #fypシ #viral

Lyd 🛍️
Lyd 🛍️
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 08:20:42 GMT
23052
1314
117
399

Music

Download

Comments

fatma.yusuph82
Fatma yusuph :
Mm naziimba yet sielewi 😂😂
2026-09-15 13:19:35
0
its_.millie11
its_.millie :
na nilkua naimba banaa "Omar muuza uza masua"😂 mahusiano sishindwi
2026-09-15 15:29:25
16
grace_em24
grace_em24 :
yan ukija kimillenial tunakupokea ukija kiamapiano tunakukaribsha😁😌
2026-09-15 13:58:13
16
melaninchocolate3
🍫🍫 :
Me adi kucheza nilikuwa nacheza na sijui nyimbo inahusiana na nin
2026-09-15 10:55:01
28
dynercosment
dyner cosmetics🧴🧼 :
Nilikuwa zangu mood off kabisa umenifanya nicheke sana wallah🤣🤣🤣🤣
2026-09-15 14:08:21
12
ryeen.wise26
ryeen wise26💘🦋✨ :
na nilikuwa sijui mu nchi gani😂
2026-09-15 16:17:54
1
am_suu1
Little _suu ᥫ᭡ :
Nilikuwa naipenda vip naimba adi inayo fata lakn sijuw maan yake 😂😂
2026-09-15 16:18:16
1
feynar
feynar mursary :
sio kusikiliza tu nilikuwa nacheza na nasema omari vuta vuta maziwa😂😂😂
2026-09-15 16:12:55
2
joylovenesskazinduki
jv♥️ :
nimeangua kicheko kwenye daldala uwiii🤣🤣😂😂😂
2026-09-15 15:50:09
2
chibenga_786
Chibenga_wa_Lube🥰 :
huwezi kupinga namna hii😅😅🙌
2026-09-15 15:58:31
1
user6170314992617
wendy💗 :
amenivuta vuta maziwa amenivuta maziwaaa
2026-09-15 16:40:40
0
mia.bella.betty
mia bella salon :
Nilikuw nmekalili hapo tu kweny “wamenivuta vuta maziwa”🤣🤣
2026-09-15 16:10:51
0
jesca.chenelo
Jesca Chenelo :
Na nilikuwa nazirudia kila siku sabau ndo zilikuwa kanda zangu pendwa na nilikuwa sielewi chochote . 😅😅😅😅😅😅😅
2026-09-15 15:55:11
4
naaflygirl5
Mrs Naaflygirl🦋🧚🏻‍♀️ :
yan home ndo bongo freva ya mzee yani mtasikiliza mpk tumekariri na maana yake hata ukiniuliza sijuw 🤣🤣🤣🤣
2026-09-15 15:26:56
2
nasismaily
Nasra a tailor🧶🪡 :
Nalikuwa nikiimba na kucheka kabisa😂😂😂🙌
2026-09-15 11:17:18
1
g_nana_gal
g_nana_gal :
😅😅😅 Ila wewe😂
2026-09-15 12:08:13
1
bernaboutiquekigoma
bernaboutiquekigoma :
😀😀Na yakukatika nilikatika ya kulia nililia 😃
2026-09-15 13:20:30
0
To see more videos from user @lyd5556, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About