@mr_mangapi: MTAZAME WAKILI MSOMI HUYU #flypシ #goviral #flyppppppppppppppppppppppppppppppp #kenyantiktok🇰🇪 #lawyer

𝐌𝐑 𝐌𝐀𝐍𝐆𝐀𝐏𝐈
𝐌𝐑 𝐌𝐀𝐍𝐆𝐀𝐏𝐈
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 08:21:39 GMT
131561
10096
340
254

Music

Download

Comments

kingbinahmad
Cde.ahmad :
Utakuta mzazi anataka asomee udaktari
2026-09-15 11:55:45
86
salma.selemani90
sanda Useni ......ل :
mashaallah [Hands open]
2026-09-16 05:28:55
0
shakira.a..banobi
Shakira A. Banobi :
Mm ndo nayajua hayo Leo na nna miaka Zaid ya 20
2026-09-15 13:30:24
48
moses.kamangu
Br Moses Kamangu :
Mtoto anajibu kwa furaha kwa sababu ni kitu anacho penda Mungu akusaie sana katika masomo yako ase🙏🙏
2026-09-15 10:08:49
77
masubag
kaka4 :
dogo Yuko smart ana deserve
2026-09-15 12:28:26
0
tch.bb
[email protected]@B¥ :
ndo najuwa leo aya mambo🤣
2026-09-15 10:31:28
64
nikomzengo
donad mazengo :
dogo yup vyzuli hongela
2026-09-15 19:00:11
1
kingtz939
kingTz :
hongera
2026-09-16 13:59:04
0
ester96024
ester :
me ndyo nayajua leo
2026-09-15 17:08:30
2
sarahthomas91090
Sarah Thomas :
mbona hyu mwanangu kanipita mbali🤣😂🤣
2026-09-15 13:53:33
10
nuru.kaywanga
Nuru Kaywanga :
huyu dogo apewe ulinzi
2026-09-15 13:24:55
23
mkali.ukwaju8
Mkali Ukwaju :
very true
2026-09-15 10:26:04
0
magda.nyanye
Magda Nyanye :
sijawahi hata kusoma mimi😁
2026-09-15 15:56:53
12
aloicy.mmassy
Mmasy🇹🇿🇺🇬 :
ata mimi nilikuwa mwanafunzi lakin sivijui hivyo vitu
2026-09-15 13:13:26
10
harawa16
HARAWA FURNITURE :
hii katiba tunatak mpya
2026-09-15 11:32:47
10
user85781384950108
Godifrey :
Wapo wengi sana nchi hii wenye vipaji,lakini waliotangulia mbele yao wanaogopa kuwashika mkono kwa sababu wanaogopa kufikiwa.Pili watashindwa kula kupitia akili zetu tusichojua.
2026-09-15 11:11:00
8
user11778276065
lovely Lizzy ❤️ :
mm mdogo wangu anakazi ya kushika nyimbo za zuchu
2026-09-15 18:44:26
9
lizzypaul63
lizzypaul :
Huyu ndo anahaki ya kuomba katiba MPYA Ila siyo sisi bendera fata upepo😁 tunaomba katiba MPYA na hata iliyopo hatujui hata msitar mmoja😂
2026-09-15 16:22:30
12
mwasampetajulious
Sir. Julius Mwasampeta LL.B. :
kabisaaaaaa
2026-09-15 23:05:53
2
user9006297851877
[email protected] :
kwer kk
2026-09-15 15:55:25
2
esther47378
Esther 🦋🦋 :
Bwana Kwan kuna somo la katiba shulen mm sijui na nimesha maliza vidato na vidato😅😅🙌
2026-09-16 07:02:14
1
abby.anna63
Abby Anna :
ufanikiwr
2026-09-15 17:52:27
1
isaac.simba80
Isaac Simba :
LISU GENERATIONS
2026-09-15 12:43:42
3
sarahthomas91090
Sarah Thomas :
ukute anaetuongoza na yeye hajui kama mm🤣😅😂🤣🤣
2026-09-15 13:56:29
1
To see more videos from user @mr_mangapi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About