@kibopa_farm: Huu siyo kwa ajili ya urembo. Kwanza, kuku hawakai kwenye kinyesi chao. Pili, kinyesi kinaanguka chini na kukusanywa kwa urahisi. Tatu, tunapunguza unyevu, uchafu na harufu ndani ya banda. Na muhimu zaidi, kinyesi tunachokusanya kinaweza kutumika kama mbolea baada ya kuchakatwa vizuri. Hii ndiyo maana tunaita ufugaji wa kisasa—banda safi, kuku wenye mazingira bora, na taka inayogeuka kuwa rasilimali. Wasiliana nasi 0757363601 #poultryfarming #kibopafarm #ufugajiwakuku