@matekawa3: AI YAJA NA MAPYA #CHATGPT #CLAUDE #metaAI

DR. MATEKA
DR. MATEKA
Open In TikTok:
Region: FR
Tuesday 15 September 2026 08:39:46 GMT
106262
3567
227
615

Music

Download

Comments

40befa_boy
DJ BEFFA :
Don't be lie
2026-11-12 17:17:56
0
hellen.fliakos
Hellen Fliakos :
sio kweli atawauwaje wanadam naye ni mashine
2026-09-15 17:40:02
7
misspinky191
➰Miss🌸🎀 :
Amekataaa bhn
2026-09-22 13:20:18
5
user17509659
BABA JJ. :
sasa ivi ukiingia TikTok kila kona ni vitisho jamani tupumzisheni basi nyie mzungu watu🤗🤗🤗🤗
2026-09-16 07:03:02
33
user2731247102728
@🦋baby G🦋🖤 :
Al nimemuliza amsema uwongo🤣🤣🤣
2026-09-16 22:56:16
6
naymom12
cute🫂❤️ :
ngoja nikamuulize ai kama nikweli atatuua
2026-09-16 10:57:42
6
miss.naah505
Miss Naah :
Sasa me nitaishije jmn
2026-10-03 20:55:35
1
floxwhite_
Floxwhite🈹️ :
kwaiyo ndo imechukua nafasi ya Israel?
2026-09-15 10:01:59
5
sam0091d
Sam0091 :
shida kizazi hiki kinapenda kusikia mazuri tu masikion mwao wavivu sana wa kufikiria ukimwambia ukweli mchungu ataona umemtishia subiri mtajionea wenyewe jamaa huyu kaongea ukweli mtupu 2030 ni yatatokea mengi sana na kila kitu kitawekwa wazi mtajua maana ya teknolojia ilikuja kwa sababu gani na ililetwa na nini mtaelewa tu
2026-09-16 07:10:17
4
feywangu1
Fey🐟 :
ulivyoanza sasa hapo mwanzo😅😅😅
2026-10-24 00:40:40
0
saidy_moh_jr
MOH JR :
ngoja kwanza niulize Ai yenyewe kweli 2030 itatuuwa wote
2026-09-19 19:32:44
0
king.melody87
King Melody 🤟 😜 :
embu Ngoj nimuulz Ai ye mwenyew kwamb ata tuuwa kwl😅
2026-09-18 07:13:02
3
breakthrujam
CallmeJ :
Dr mbona unaniangusha, ushauri wa kutotumia ai ni ushauri mdogo sana kwani naturally simu zinasikiliza ka tunachoongea tunapokuwa tumekaa. simu hata ukizima bado inasikiliza maongezi yako. Sasa ukitaka kuepuka basi acha kabisa matumizi ya smart phone.
2026-09-15 19:11:19
3
kijumbe5
kijumbe :
nimemuulza Jana AI alicho nijb acha nikae kmy maana mmmhhhh tena Kuna uyo anaitwa nani sijui uwiiiiiiii nimeifunga stak tena AI mm
2026-09-16 07:50:19
1
angeljoshua1280
🦋💕It's me💃💋 :
Sahihi
2026-10-20 07:42:26
1
minash2222
minash2222 :
🙌🙌🙌 saw DR. mateka
2026-09-17 09:52:25
0
mpita_njia1
MPITA_NJIA :
ila ni kweli hii ni tecnolojia hatar kwa binadamu,lakini kwa watu wasiojua wao ni kupinga tu
2026-09-17 18:44:29
3
mamappru2ao
Oprah :
mnazidi kuongeza matatizo elnino Bado mnaleta mengine
2026-10-02 18:48:29
1
swankyg19
swankyg :
Me nipo pamoja na trump 😁🤸‍♀️🙌
2026-09-15 09:31:35
3
isihakamteruka
Sterling Mapua..😎 :
sasa data zangu zitawasaidia nini!!?
2026-09-16 13:19:38
1
mosesbrand6
MOSES BRANDI 👑 :
we acha watu wa enjoy
2026-09-17 15:00:53
1
shai.ride
shai Ride :
AI inauaje acheni fikra finye
2026-09-17 16:19:57
1
user7717556918177joseph
Ir JOSEPH KACHECHE :
je m'en fou je suis en Afrique 🤣
2026-09-16 10:24:24
1
user27129693136786
Divine :
itaua binadamu kvp!!? mtueleweshe
2026-09-15 15:36:20
3
majitaka939
alvin deus :
mpaka ujio wa AGI lakini sio sasa AI haina uwezo huo
2026-09-19 19:13:10
0
To see more videos from user @matekawa3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About