@tulewote: Kama unapenda mambo ya chakula mambo ya kuwatesa ma doctor 😆weka sema neno #fyppppppppppppppppppppppp #ticktockkenya🇰🇪🇰🇪 #ticktocktanzania🇹🇿 #arusha #fypシ

WATU WA MISOSI🍟🍖
WATU WA MISOSI🍟🍖
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 08:52:22 GMT
95918
2721
49
445

Music

Download

Comments

user238070448112
kanyau :
Yaani mie napenda sana nyama ya ngombe ya kuchemsha
2026-10-06 10:36:56
16
muuzadagaamwanza
Anitha muuza dagaa Mwanza :
hata mfanyaje lazima mwakani nijenge🤣🤣🤣🤣
2026-10-19 17:12:33
7
denshy2025
denshy :
hapo kando kuwa na kachumbari pilipili soda baridi na sima kubwa ya moto inaslap sana
2026-11-02 07:18:18
2
big22868
Aubri2023 :
😂😂😂 yaan nimecheka san khaa eti.kuwatesa ma dr au unateseka.mwe yewe unaeumwa mhh watu wana mambo😂😂😂😂
2026-10-22 08:25:08
1
edinajahilo
Edina Jahilo :
yaani hapo nipate kachumbarii yenye kandim na kapilipili kawe kanawasha na slager ya baridiii
2026-10-15 19:01:40
5
aishaseleman.aish
Aishaseleman Aisha596 :
Au wewe ndio niambie mwenyewe
2026-10-23 14:07:10
1
careen_jerry
careen jerry :
nta Jenga kweli mmi kwahizi hela zinazo tosha kunnua nyama kweli🥹
2026-10-18 18:00:19
3
theopister.jeshi
Theo🥰 jeshi 💝🥰🥰 :
akisha semaa nimwambiee namjibuu me so mwandishii wa habari 😂😏😏
2026-10-16 13:49:57
3
mhinahusein
Mhina Husein :
maeneo gani
2026-10-30 11:07:33
0
user2436300422320
rechoo🥰 :
niambie
2026-10-30 11:22:10
0
atqaa79
اتقا مش :
Hapo mchawi kitunguu majiii uff ntakula vipii
2026-10-16 16:09:01
2
msaudia46
Msaudia@ :
ndiz mshale ichome kdogo tuu unajua ileeee💪
2026-10-17 16:08:46
1
babayasry34
Rama De :
Asalam Alyekum Shekhe Hiv hii ndo hile mboga yetu Au Nimeona Vby
2026-10-25 17:19:59
1
sihamjamal530
Siham Jamal :
mate yananidindoka hhhh
2026-09-15 21:41:27
3
evamkoma181
Eva Mkoma :
mmmh
2026-10-15 15:06:58
0
fatmammassy805
Fatma Mmassy :
2026-10-16 21:17:19
1
esau.manyika
Esau Manyika :
location
2026-10-10 07:13:31
1
princessaryana12
Princess👑Aryana💫 :
2026-09-17 17:48:30
2
polite.nana
polite nana :
hitaki tujengeee😂😂😂
2026-10-27 08:40:26
0
mm92309
Kwenye One and two :
yan video na sauti zote hatari. Sijui tusikilize au tuangalie😂😂😂😂
2026-11-01 14:44:58
0
user8331746305681
monie :
hapa nisikilize au nitazame mbn sielewi
2026-11-01 13:42:49
0
hajiratkasimu
HAJIRA :
uko wapi nahitaji nyama
2026-10-27 15:19:55
0
cutedevota
💋💋cutedevota :
haki ya mungu siwezi kumwambia hata kama ninachakumwambia
2026-10-31 15:23:49
0
pjay8219
Kibest :
madaktari mumechelewaa 😂😂😂😂
2026-10-30 15:52:52
0
scola.kimaro
Scola Kimaro :
sjal leo aseee
2026-10-15 16:34:27
0
To see more videos from user @tulewote, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About