wangu nilimtumia 8k ....... sunday jioni nikapigiwa simu nikaambiwa yeye ndio alikua mgeni wa heshima kanisani😭😭
2026-09-15 18:07:26
178
Merytina Ayako atsali :
Mimi wangu nilimfanyia shopping akagawa Kijiji kizima ndio abarikiwe.
2026-09-16 04:15:01
78
mpoa wa mtu :
Mimi heri aende Aishi tu na pastor bana
2026-09-15 10:47:34
100
💥💢Atienoo🫴💢 💥? :
husikii nilipanda gari from kajiado to westarn kuenda kuchukua hio mbuzi kwa pastor
2026-09-19 08:34:07
11
maggie ♥️♥️♥️ :
weeh hio yako Ni kidogo my friend...Mimi nilimjengea nyumba kubwa Sana Sasa hii alilete pastor akae kwetu , eti anachoka kukuja kila siku maombi Saa Tisa 😂😂😂😂😂 pastor ashakuwa baba 😂😂mamangu ataniuwa walahi
2026-09-16 06:10:36
104
kanicy :
comments section 😂😂😂😂😂
2026-09-22 07:02:03
0
sbighi :
Mamangu atulii. mara revival, mara widowers and widows meeting😂😂😂 sielewi.
2026-09-16 10:58:46
2
mamake mary :
my mother can never do such😅😂 anakuwa na akili timamu ..Sasa Kuna my auntie 😅 anaeza adi Katia pastor shamba
😂😂😂😂😂😂aaah thats my mother alitoa fungu la kumi 5k 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-15 17:46:20
15
mwangi daughter :
😭😭😭mimi wangu aliniitisha Monday then akapiga tuesday nikamwambia sinilikutumia pesa akaniuliza kama sisi alituhesambia siku zenye alituzaa😭😭😭
2026-09-17 13:01:47
16
Queen maggie💝💘💝 :
😂😂😂huyo ni mamangu
2026-09-15 13:53:07
23
Awino🥀🌹 :
Wangu ameniambia eti my first salary nimtumie apeleke pastor aombee ndio kazi isiishe😅😅😅
2026-09-20 17:41:43
5
kisii finest :
husikii nilibuyia wangu gas cooker akapelekea pastor ety amesikia kwa news inalipuka inaua watu😭😭😭😭 nilitravel All the way from Mombasa nikaiendea bana😁😁😁
2026-09-15 21:14:07
40
mama bildad :
my situation now 😔
2026-09-15 15:43:05
7
Ni branny💞💞🧚♀️🧚♀️ :
eti alinunulia pastor suti
2026-09-15 13:31:19
12
254_HELLEN NGILI :
alituma fungu la kumi na sandaka ya shukrani then wakasindikiza pastor na chakula🤣🤣🤣
2026-09-15 18:40:44
7
Stones :
wanakuwanga na mchezo sana
2026-09-15 17:02:41
6
simplegirl :
😂😂😂ata afadhali wako wangu alipelela ng'ombe inakamuliwa eti ni mgeni wa Kanisa😂😂nilimshow wachana na iyo church kabisa
2026-09-16 02:07:07
9
To see more videos from user @user1507691397320mrs, please go to the Tikwm
homepage.