@brian_silaatz: Kula maisha kula maisha x10 tutakutana uzeeni potezea akiba kabisa tutakutana uzeeni mkuu💀😂😂😂😂🙌🏽#briansilaa

Brian Silaa
Brian Silaa
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 08:56:26 GMT
46024
4127
160
82

Music

Download

Comments

ommytz1232
Ommy Humble 🇹🇿 :
mwenetu unbeatable wp content 👌
2026-09-15 12:31:33
0
the_civilized
The shooter :
Una uhakika uzeeni utafika? Kula maishaaa😁
2026-09-15 11:17:36
45
kelvinsospeter83
KELVIN SOSPETER_83 :
naitwa magembe muuzaji wa mahadiwea😂😂
2026-09-15 09:35:41
11
rajabuwenge5
🎖MOMENTS🎖 :
uzeeni utafika sasa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-15 09:57:41
1
boch.bad
$ BOCH BAD 💯 :
uzeeni uta Kutana nanan
2026-09-15 10:56:35
4
lazarokipanamosson2
lazarokipanamosso :
hahaha [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-15 10:31:55
8
elgringo_og45
El GRINGO :
una uhakika ,utafika uzeeni
2026-09-15 20:53:50
1
mkwasibacap
DZ2 :
uzee majaliwa asiwatishe sikuizi hatuzeek
2026-09-15 11:13:42
4
thommytz3539
TPAtz :
Aaah. Utajuwa mwenyewe bana me nakula Maisha😁😂
2026-09-15 13:43:37
3
swaty.ima
Manuuh🙂‍↔️ :
Kumbe umemwonaee embu mjibu bana ale maisha
2026-09-15 09:52:58
8
james.nduli1
James Nduli :
Utakutana uzeeni na nani
2026-09-15 13:24:29
3
oddo03
walida mwageni :
unauhakika tutafika uzeeni maisha ma fupi kula maisha ww😁😁😁
2026-09-15 16:50:00
2
officialdaddy099
1st born :
Je nisipo fika uzeeni mungu aka ni cash out tunakutana wapi
2026-09-15 18:03:59
1
redson.julius3
@SON## :
Vijana hawazeek saiv 😁😁😁
2026-09-15 10:12:14
2
fundi.umeme.majum
Hilary :
acha kukariri kaka kulamaisha kulamaisha sinoraiiii kwishaaaaaaaaa😁😁😁😁
2026-09-15 12:08:29
2
joseph.mazengo98
Joseph Mazengo :
kula maisha😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-15 21:36:38
0
mad.dog0579
devih frey :
fan's wa arsenal mnashidaa gani
2026-09-15 09:42:48
1
zabron1336
Zabron :
Kwani uzeeni nilazima ufikee,,Kula maisha tuuuuuuu
2026-09-15 15:24:19
1
dotto117
D.Anthony17👑🇹🇷 :
Usitutishe
2026-09-15 19:11:32
0
user7494995367221
Lidya samwel :
bora 😂 ukweli usemwe😂🤣
2026-09-15 19:43:03
0
tc.wise17
Tc.Wise :
Sasa mbona ni sawa ww unateseka ujanani unakula maisha uzeeni me nakula maisha ujanani Afu uzeeni nateseka Afu wote tunakufa 😂😂😂😂😂😂
2026-09-15 17:28:22
0
frankmdach
Frank Mdach :
unajuaje utafika uzee
2026-09-15 17:01:23
1
mkomanyamkinda
Mr Mo Energy :
Ukila Maisha huwez kufika uzeeni bn
2026-09-15 22:21:58
0
gwenoboy
gweno boy :
amekula sana maisha
2026-09-15 21:17:51
0
actor9347
ACTOR :
hahahahaha hahah
2026-09-15 09:09:43
0
To see more videos from user @brian_silaatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About