@zayvitambaa: 1.❤️Karibu zayvitambaaa Tunapatikana KARIAKOO Fika had msimbazi B police Mtaa wa ndanda na tandamuti karibu na msikiti wa madina na idrisa utaona bango zayvitambaa pia 2.❤️Tunapatikana TANDIKA jengo la tandika plaza frem no 26B imeandikwa ZAYVITAMBAA #mishonoyakidada #vitambaa #mishonoyavitambaa #viral #fabrics

Zayvitambaa
Zayvitambaa
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 09:14:30 GMT
78845
1645
68
206

Music

Download

Comments

001totoo2
Totoz :
huyo ndo zay wa kenya nunueni vitabara na nguo kwa huyu dada ni muaminifu mashallah msiwe na shaka huyo boss wangu allah amueke mika 1000
2026-09-15 13:19:21
5
sharifa01769
Sharifa01 :
nataka kipenzi iyouloivaa
2026-09-15 14:09:23
0
lisma.mahonge3
Lisma Mahonge :
mimi nipo mbweni naitaji pis moja t
2026-09-25 07:29:13
0
mwamss5
Mwamss🦋💞😘 :
zai nataka hiyo nipo tanga mjini
2026-09-16 05:14:09
0
swaby443
swaby44 :
kutuma Kenya ngapi
2026-09-15 10:34:37
0
aisha.isss
aisha issa :
namba yako ipo Whatssap ?
2026-09-15 16:14:07
0
fatimakingube1
Fatima Hamis kingube :
hadi raha ngoja niifate tu
2026-09-16 07:17:08
0
user7411757387675
Ummy Mohd :
unatuma kenya
2026-09-15 12:24:59
0
frd_collection001
frd_collection :
nataka niko kenya
2026-09-15 09:53:02
1
user8066119397851
user8066119397851 :
Nataka rangi hio uliovaa nipo kenya
2026-09-15 14:09:41
0
saumu3984
saumu :
zipo bado
2026-09-16 13:19:23
0
ashamashango
Asha Mashango :
kipo vzr
2026-09-18 16:27:58
0
cutummu0002
cut ummu :
mtandio unakuaje
2026-09-15 13:37:59
0
nurath.mamy4
Nurath mamy 😘 :
unaweza kunitumia? mkoani
2026-09-15 11:52:26
0
zb5446
my ❤️ :
naitaka hiyo uliyovaa Niko mosh
2026-09-15 12:15:58
0
joyce.mlima2
Joyce mlima :
mnapatikana wapi
2026-09-16 07:55:06
0
ummy.nasra8
Nasra🎀ommy :
Nakupata wapi
2026-09-16 12:36:54
0
johary.deodath
Ruqayyah Surifa :
hiyo ya ndani peke yake kitambaa mita bei gani na kinatosha mita ngapi
2026-09-15 12:49:37
0
mszfadhili1
mrs fadhily :
2ma no yako ya wa sap bx
2026-09-15 13:15:09
0
salumasiskey
salma rashid :
nataka kpnz nipo kaliakooo nguo
2026-09-15 10:12:32
0
tausi.athumani63
Tausi Athumani :
nataka rang ya carot au bluu masai mm nitume
2026-09-16 20:24:26
0
user8061970705086
Habiba :
nahitaji sare
2026-09-19 08:18:05
0
merry.lionel
merry Lionel :
Naitaka hiyo napateje
2026-09-26 07:46:12
0
cutemina63
Tanga Home🥰 :
nataka Sale
2026-09-22 18:18:44
0
king_h0
Khadija.juma21 :
unapatikana wapi
2026-09-20 14:21:54
0
To see more videos from user @zayvitambaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About