@mtanzania979: CHUKUA TAHADHARI MAPEMA.

mtanzania979
mtanzania979
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 09:23:15 GMT
167944
2207
297
438

Music

Download

Comments

emmanuel_isuto
Emmanuel Isuto :
tutaona mengi mwaka huu kama mpaka ziwa tanganyika limekuwa Victoria.
2026-09-15 12:41:41
216
rebeccarupia4
Rebeccarupia :
hakuna mvua za mahafa Tanzania..naifuta katika jina la Yesu
2026-09-15 19:27:09
114
blackpearl9332
Blackpearl :
kumbe Ziwa victoria lilihama
2026-09-15 18:04:46
60
barakaeli37
baraka eli :
ziwa victoria lenyewe limekimbia mafuriko tujipange wakuu[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-15 19:31:20
0
phiri_collection
Phiri_collection🇹🇿🇲🇼 :
ramani ya kuchaji[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-15 16:31:43
0
zuberi.huseni
Tiger the one :
Yan Raman kibao ila ukaona uchukue AI mwanetu [Tears of joy]
2026-09-16 05:31:02
4
mpboytz
Emma 🦋 ☑️ :
Ziwa Victoria limeenda vacation ziwa tanganyika ama
2026-09-15 19:40:35
18
zanianyeku
🪷Ms.Zany🪷 :
yenye kijani au nyeupe
2026-09-15 17:44:55
0
empirejoo
JOOEMPIRE :
Hii ni ramani ya Tanzania kweli😳
2026-09-16 06:24:19
0
nikodemus1502
Nikodemus :
ai imesahau kuwa kuna mkoa unaitwa manyara 😁😁😁
2026-09-15 15:22:55
6
bigger.mind8
Bigger Mind :
Hiyo mvua Nd imefanya Hadi ziwa Tanganyika limebadika jina na kuwa Victoria
2026-09-15 17:16:50
4
wataifa1
group O+ :
dodoma ni kama waligombana na mvua
2026-09-15 18:47:37
6
adelove583
adelove583 :
ramani lazm iwe na key sasa hii ramani haijakamilika ....msinipopoe jmn me ni mwalimu niliye not selected 😂
2026-09-15 18:00:41
2
digger26.0
Digger26.06 :
Hilo ziwa victoria huko kigoma limefata migebuka ziwa victoria lipo mpka rukwa dadeq😂
2026-09-15 18:17:12
4
bam80533
BAM :
Mwanza vipi yupo likizo au???
2026-09-15 18:24:30
7
rehemamakolo813
ALKEBULAN :
msiseme sijawambia kigoma saivi Kunaziwa Victoria sawa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-15 16:57:33
0
hamynimrah0
hamy_nimrah :
siuoni mkoa wangu wa mwanza umepotelea wapi😳😳
2026-09-15 19:07:07
1
silaha.john
Official Siraha John :
Mungu ibariki Africa ibariki Tanzania na mikoa yake yote.Amina🙏
2026-09-16 08:28:56
1
glarya5
G☘️larya :
Kwa Nina la yesu tutakula salama
2026-09-16 03:16:32
1
san..abacha
PabloEscobar :
Ziwa Victoria kabadilishana kituo cha kazi na ZiwaTanganyika. Dapipi nishushe
2026-09-15 19:06:29
3
advancetz2021
AdvanceTz :
hamjui kuelekeza, sasa maeneo yenye kijani au yenye nyeupe ?
2026-09-15 17:08:48
3
user6838459854078
user6838459854078 :
ahaaah kumbe ziwa victoria lipo kushoto sikuhizi!! nilikua sijui 🙏 asante
2026-09-16 08:37:31
1
franklins777
Franklin's :
sure hakuna lolote tupo na tutaona, MUNGU hatoki kwenu
2026-09-15 17:16:53
1
To see more videos from user @mtanzania979, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About