@mahustech_: Ubora wa kazi zetu huwezi fananisha au kuzipata sehemu yeyote tofauti na @mahustech_
Tunafunga mifumo ya kisasa ya ulinzi kama;
CCTV CAMERA ufatilie matukio yanayoendelea nyumbani au ofisini kwako.
ELECTRIC FENCE kuzuia wezi wasiingie nyumbani au godown kwako kwani atapigwa shoti na utapata alarm.
GATE MOTOR kurahisisha kufungua geti lako kwa remote.
VIDEO DOORBELL kumuona mtu anayegonga getini kwako.
ALARM SYSTEM sensor za kumgundua mvamizi wa eneo lako
Tupigie simu 0793711661/ 0793711662
Tunapatikana mwenge Mapambano
Tunafanya kazi mikoa yote Tanzania.