@tztrendsmedia: maandalizi ya Tanzania Green Summit 2026 yanaendelea Mlimani City Haya ndiyo mazingira yanavyoonekana hapa Mlimani City jijini Dar es Salaam, ambako maandalizi ya Jukwaa la Tanzania Green Summit 2026 yanaendelea kwa ajili ya tukio linalofanyika leo, Septemba 15 hadi 16, 2026. @tanzaniagreensummit_ ✍️!@isack_matogoro Powered by @dubai_computers