@christinelast.born: Ee Bwana Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi, ninakushukuru kwa ajili ya uzima, afya, na neema yako kuu juu ya maisha yangu, maana Wewe ndiye unayetupa nguvu za kupata utajiri na kufanikiwa. Baba wa mbinguni, nasimama mbele yako nikiomba rehema kwa makosa yangu yote, na ninaomba usafishe njia zangu ili zisiwe kikwazo cha mafanikio yangu.๐๐ป๐๐ป๐๐ป Kwa jina lenye nguvu la Yesu Kristo, ninaamuru kila mlango wa biashara na kazi yangu uliokuwa umefungwa au kucheleweshwa ufunguke sasa hivi, na ninaachilia roho ya mafanikio, ustawi, na uvumbuzi katika kile ninachokifanya. Ee Bwana, ninaomba kibali chako kikubwa kinizunguke kama ngao; kila mahali ๐๐ปambapo jina langu au la biashara yangu linapotajwa, naomba neema ya kibali cha pekee mbele za wateja, wakuu wa kazi, na jamii inayonizunguka. Ninaomba kuinuliwa kutoka kiwango kimoja kwenda kingine kikubwa zaidi, na ninakemea kila aina ya kushuka au kukwama katika jina la Yesu.๐๐ป๐๐ป Ninaweka kazi na biashara yangu mikononi mwako, ukabariki bidii ya mikono yangu na kunilinda dhidi ya hasara, husuda, na mipango yote ya adui. Ninaamini na kupokea kwa imani kwamba nimefunguliwa njia na nimeinuliwa. Katika jina la Yesu Kristo nimeomba na kuamini, Amina.๐๐ป๐๐ป๐๐ป
(last born wa yesu๐๐ผ)
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 10:00:12 GMT
Music
Download
Comments
jujo :
Amen
2026-09-25 20:52:10
1
G :
amen[Red heart]
2026-09-21 17:16:51
1
Dennoh Kingpin :
Amen ๐ in Jesus Christ name
2026-09-15 18:11:44
1
@_Marley๐ฅฐ :
Amina
2026-09-21 18:29:20
1
tumaini :
aminaa napokea kwa jina la yesuu
2026-09-19 15:04:55
1
Zuhura Rajabu :
aminaaa
2026-09-15 14:13:14
1
Esther mubibya :
Amรฉn Amen Amen Amen ๐๐๐
2026-09-15 12:46:29
1
Victoria Kiwango :
Ameen
2026-09-15 16:49:21
1
Ever :
aminaaas
2026-09-15 14:10:40
1
Mwamini Kasombwe :
Amina nakupenda sana๐ฅฐ
2026-09-15 19:24:17
1
Bigg Vibe :
Amen
2026-09-22 18:03:56
1
rebase watch :
amina amina
2026-09-15 11:40:55
2
Heaveline Ally :
amen
2026-09-20 15:49:36
1
Yesaya John :
Amen
2026-09-15 13:42:33
1
user83751980122 :
Amen Amen Amen
2026-09-17 06:30:14
1
lxlnca :
Amina
2026-09-16 07:04:59
1
kadzongala362 :
amen
2026-09-16 14:15:16
1
allykosei459 :
amen
2026-09-15 14:29:46
1
omega George :
Amen
2026-09-27 18:26:20
0
Aurelia Luca :
Amen ๐
2026-09-26 19:42:02
1
Mwaliley Zawagholi :
Ameen
2026-09-15 14:39:34
1
lily :
amina
2026-09-15 15:43:33
1
Lily :
amen
2026-09-15 15:27:29
1
Christina :
amina
2026-09-25 15:26:12
1
Mussa Patrick :
๐๐๐๐
2026-09-15 10:46:15
1
To see more videos from user @christinelast.born, please go to the Tikwm
homepage.