@dr_daniel_md: ❤️ Dalili 7 ambazo mwili unaweza kukuonyesha kuhusu tatizo la moyo — usizipuuzie! Wakati mwingine mwili unaweza kuonyesha ishara za tatizo la moyo, lakini kwa sababu mtu si mtaalamu wa afya, anaweza kuishi nazo kwa muda mrefu bila kujua kuwa kuna tatizo. Katika video hii nimekuonyesha dalili 7 muhimu zinazoweza kuhusishwa na cardiomyopathy (ugonjwa wa misuli ya moyo), ambazo ni muhimu kuzitambua mapema. ⚠️ Ukiona baadhi ya ishara hizi, usisubiri hali iwe mbaya. Nenda hospitalini kwa ajili ya uchunguzi sahihi. Na mwisho wa video nimeweka jambo muhimu sana la kufanya unapoziona dalili hizi — usilikose. 👉 Tazama video mpaka mwisho, jifunze, na mshirikishe mtu mwingine. Huenda ukamsaidia kugundua tatizo mapema. #Afya #Moyo #Cardiomyopathy #ElimuYaAfya #DrDaniel

Doctor Daniel- Hospitali Ndogo
Doctor Daniel- Hospitali Ndogo
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 10:02:47 GMT
89415
2567
162
286

Music

Download

Comments

beathayunusi0
Beatha Yunusi :
by the way ilovee u doct
2026-09-15 17:19:15
0
dahengoki
Dahengoki :
Energy Drink hizo..... 😳
2026-09-15 17:38:12
0
user5380412436239
M0lly. 026 :
Respect bro🙏
2026-09-15 17:01:59
0
user21162627847448
magie💞💞 :
sasa mbona mi nishakufa nifanyeje?😭😭
2026-09-15 10:57:25
21
montannah19
montanaah :
kusunda Kwa kas
2026-09-15 16:03:54
0
nomezsking
Nomezsking23 :
wanasemag cardiac mascles never farg/tired na ni elastic kivipi moyo unatanuka?
2026-09-15 15:37:53
1
user2419523985269
Mwax C :
Yaaani ukisikiliza hizi content zenu ndo zitanisababishia matatizo Manake kila Dalili ya ugonjwa unayo taja ninayo
2026-09-15 13:09:39
12
dahawa.ismail
Dahawa Ismail :
me nikiwa nawasi wasi uloungana na uwoga namshtuko moyo unadunda uwo atari Hadi kwenye shati
2026-09-15 12:04:27
14
user5639906771043
khadijanjuhi :
Asante
2026-09-15 11:11:31
0
momo.j54
momo J :
mmmmh mbn watoto tunayasikia sn hii imekaaje
2026-09-15 11:33:40
5
julyaahchogga
julyaahChogga :
tulisomaga moyo unatakiwa kudunda mara 72 kwa dakika
2026-09-15 12:58:33
2
sumaiyahussein739
Sumaiya Hussein :
ata mm vipimo vilionesha moyo umetanuka ila tatizo lilianzia kwenye uzazi wa mpango
2026-09-15 13:03:26
4
isackmwaimu
isackmwaimu :
dokta shusha presha kidogo
2026-09-15 17:29:13
1
pretiiwomann
Moon🌖 :
Mbona sasa dalili zote nnazo?
2026-09-15 12:22:19
0
smy2813
smy :
izi coment ukisoma unaeza kata tamaa
2026-09-15 15:29:14
1
rich.mani.772
Rich mani 772 :
sasa doctor hemu samahqni sana niambie mbona mda ninao fanya mazoezi kwenda mbio nikipumzika unakwenda mbio badaa ya hapo unapungua mbona sifi
2026-09-15 17:21:24
0
emmaelectricaian26599
EMMA 🌀🖌 :
na hizi content zenu ndo zimefanya moyo wangu utanuke maana naona mmetumwa
2026-09-15 16:35:48
2
husseinjuma90
Hussein :
mm naomba msada wako mm mzazi wangu anayo shida iyoooooo
2026-09-15 10:59:24
0
globalpharma903
Globally :
Betting pia inaweza Kua sababu ya moyo kutanuka co Kwa hizi pressure / Stress 💔😂
2026-09-15 16:12:44
3
bigdada2025
big dada :
hospital tunaenda kwa wakat sema watoa huduma wa sasa hawamkagui mgonjwa hatua kwa hatua sikuiz ukienda hsptl nikama mshitakiwa 🤣😀ndio sbb za mgonjwa anakuja kugundulika akiwa hatua za mwisho
2026-09-15 16:20:40
3
husnajamalimkanga
𝖼𝗁𝗎𝗇𝖺 mkangamm :
Je ni kawaida kama mtu akiwa me toka kukimbia moyo kusunda kwa kasi
2026-09-15 14:04:31
2
dee.light18
Dee light :
based on your information nina wiki mbili tu za kupumua
2026-09-15 11:15:11
3
iamually3
Young Hustler💪💯 :
Bro fupisha content maneno mengi unachukua mda mwingi kuelezea kitu
2026-09-15 16:49:39
0
To see more videos from user @dr_daniel_md, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About