Ndugu zangu waislamu munapotoka jamani..😒 wapi iliandikwa nimetafuta mpaka kwa hadithi dhaif na nimeikosa kaka tafadhali acha kupotosha watu 🥺tafadhali najua yote haya ni kwa sababu ya content tu lkni tafuta njia nyingine akhi 🥺nakuomba .....
2026-09-15 17:55:12
3
Ambany'onge Mdimu :
weka ushahidi umepata kwenye kitabu gani
2026-09-15 19:08:15
1
<3❤️ :
assalamualaikum warahmatullah wabarakatullah nisaidiye dua mpenzi wangu aniowe mwaka wa 2 sasa umri unaenda 😭😭
2026-09-15 10:56:57
2
Jaruph son :
love
2026-09-15 15:18:35
0
Adam Godana :
MashaaAllah
2026-09-15 14:06:09
1
jamila.xoxo10 :
au ukiomba kitu chochote tu.maana mimi mwanangu anamitihani mzito
2026-09-15 10:09:45
2
khadijajuma2295 :
Nakupenda kwasabab unasema ukweli
2026-09-15 19:12:23
1
hawa muchelule :
Alhamdulillahi
2026-09-15 14:56:10
1
Zain Lipunjaje :
Asante
2026-09-15 13:00:55
0
Husna Musa :
mashallah
2026-09-15 12:30:43
1
camila :
naomba mniandikie hy sura
2026-09-15 12:39:37
1
Shadra Mwabundo :
naombeni dua ya kudhulimiwa 😭😭😭😭😭
2026-09-15 12:58:29
2
Emmy 🥰🥰 :
Nitamuomba Allah na mm
2026-09-15 10:16:07
2
JAMILA ZENA :
sie tusiejua kusoma yanatupita mengi mungu tupe kudra basi na sisi
2026-09-15 15:55:40
1
selemani666 :
mungu nianza kupata pesa
2026-09-15 10:16:41
3
Tina :
yasemaje maanake natamani nami kusema ila mimi mkriso nisaidie
2026-09-15 11:55:35
2
Hamida kessy🥰 :
Asalam Aleykm shekhe Mimi naambiwa ninajini mbaya ambaye andio ananiharibia maisha yangu tangia utoto naomb nyiradi yakumkimbiza akae mbali namm yaa atoke kabisa asije ten mm Wala na kizazi changu
2026-09-15 12:45:43
1
continentliyama57 :
mashallah
2026-09-15 22:07:00
0
Maolly Hb⌚ :
na anaenidai je
2026-09-15 20:30:21
0
user7397197158217 :
Allah akulipe kwahili unalo lifanya kk yangu nakupenda kwa ajili ya Allah
2026-09-15 20:20:07
1
ummu j4 :
Allah akulinde kila cku kwa kutupa mafunzo mema bro 🥰🥰
2026-09-15 19:02:33
1
Maryam said :
inshallah iwe hvo duh
2026-09-15 18:44:29
0
Dada Kabendera🇷🇼🇹🇿 :
Ameen sasa anae kudai na haujapata uwezo wa kumlipa na hakuelewi ?
2026-09-15 21:17:57
1
To see more videos from user @abdulhamidnyota, please go to the Tikwm
homepage.