mungu akufikishe killeleni akuvike medali kubwa wewe ni wasamani sana kwetu wanasimba mugu aibaliki miguu yako na aongeze idadi ya magoli yako kua kubwa zaid africa.akuna kama wewe mungu akupe afya uxidi kuitumikia simba amina tunakuprnda kila laheri