@fikrachanya_tz: ACHA KUFIKIRI SANA Mwongozo wa kukusaidia kuelewa mzunguko wa overthinking, kutambua kinachochochea mawazo yanayojirudia, kujifunza mbinu za kuyasimamia na kuanza kujenga utulivu wa akili. Ndani yake utapata: SELF-ASSESSMENT — kujitathmini na kutambua maeneo ambayo overthinking yako inaonekana zaidi. MAZOEZI YA VITENDO — kuanza kutumia unachojifunza, si kusoma tu. MPANGO WA SIKU 30 — kujenga hatua ndogo za kila siku za kuanza kubadilisha mfumo wako wa mawazo. Huhitaji kuwa mtu asiye na mawazo. Unahitaji kujifunza kutotawaliwa na mawazo yako. Bei ya kawaida: Tsh 10,000 BEI YA UZINDUZI: TSH 9,000 Ukitaka nakala yako: Tuma “NATAKA KITABU” DM au WhatsApp. 0746078384 . . . . #AchaKufikiriSana #Overthinking #UtulivuWaAkili #AmaniYaNdani #FikraChanya

Fikra Chanya
Fikra Chanya
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 10:06:57 GMT
17100
404
4
18

Music

Download

Comments

user5013669146022
Mr_KB🌍 :
hii ni fact
2026-09-15 11:10:08
1
samweldavid86
samrat✨✨ :
we mbona nifikra kwann usifikilie 😆
2026-09-15 10:51:58
1
dovalaymoo
DovaLaymo :
Nifanye nini sasa
2026-09-15 12:04:56
0
92.ilieseninju
埃利亚 🇹🇿 :
[Big LOL][Big LOL]
2026-09-15 20:23:45
0
To see more videos from user @fikrachanya_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About