@creatorman.og.com: Hizi dawa ni aina 9 za dawa ambazo ni hatari sana kwa kumuondoa jini mahaba au jini yeyote anaesumbuwa na kumkosesha amani mwanadam . Namna ya kufanya: kanunue dawa hizi zote katika maduka ya asili au yakisunna kisha zichanganye zote kwa pamoja na uzitwange zote ziwe unga. Baada ya hapo unga huo utaugawa makundi mawili, kundi la kwanza utachanganya kwenye yale mafuta ya fimbo ya mussa. Nakundi lingine utakuwa unaweka kidogo kigogo kwenye maji yako ya kuoga ndani ya siku 14. Hayo mafuta yaliochanganywa hizo dawa utakuwa unapaka mwili mzima usiku tu muda wakula. Na dawa hiyo ya kuoga utakuwa unaoga kutwa mara 2 asubuhi na jioni. Hakikisha unaoga na kupaka mafuta hayo ndani ya siku 14 mfululizo. Kwa hakika jini yeyote hatoweza kuvumilia kukaa mwilini kwasababu dawa hizi ni dawa za kuwaunguza na kuwapa adhabu kali majini mbalimbali.

Sayyed abuu shamhuurash
Sayyed abuu shamhuurash
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 10:37:13 GMT
12067
505
12
73

Music

Download

Comments

zubeda6588
zubeda6588 :
Asante kwa dawa Alwa akulipe gheir
2026-09-15 20:53:45
1
salmin332
sauda :
thanks
2026-09-15 16:58:26
1
rafiiwahidmanzi
rafinho :
Shukran sana Allah atakulipa kwa hili
2026-09-16 08:20:45
1
azza38263
Azza :
Shukran
2026-09-15 20:16:40
2
user2047105466211
Mwana--Mpemba og :
Hizo dawa, unazifanyeje? Hapo hujarusaidia chochote.
2026-09-16 01:45:44
0
hawa.said.hawa
Hawa Said Hawa :
na yulejini anaenda na kurudi tibayake ni nn
2026-09-15 16:58:19
1
kelivn395
kelivn :
Mimi ndona mtaka
2026-09-15 17:08:39
0
nimey16
nimey :
Shukran
2026-09-15 19:27:25
0
zubeda6588
zubeda6588 :
wewe unaemtaka mungu akupe
2026-09-15 20:52:51
0
tom_kid19
@Tom kid :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-15 14:47:07
1
abdul.s.n
Abdul nurie 🇹🇿🇯🇵 :
♥️♥️♥️
2026-09-15 17:54:10
1
To see more videos from user @creatorman.og.com, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About