@rahim.amiry: #tanzaniantiktok🇹🇿 #movies #musicvideo #genz #zanzibar

Samia Suluhu Hassan
Samia Suluhu Hassan
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 10:38:27 GMT
144932
16165
221
156

Music

Download

Comments

shaliki.muhamed.m
Shaliki muhamed Mjus :
uhakika mama tunakupend
2026-09-15 13:11:45
41
big.madin
BIG MADIN💎 :
pole mama
2026-09-16 09:52:07
0
mkubwafaki13nyarugusu1
mkubwafaki :
pole sana muheshimiwa Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
2026-09-15 12:42:25
48
user2263514558273
isha :
daa masikin mungu mrehem baba
2026-09-15 12:58:44
22
zianachimpaga
Ziana Chimpaga :
Leo megundua harmonize Ana hekma na adabu sana mwenyezimungu akutunze kwaajili yetu wanakusini kwa hakika tunajivunia sana uwepo wako
2026-09-16 07:42:03
22
adolfchiwangu
Adogas :
the sign that your not a lone mama we also feel your sharp pain.
2026-09-15 14:24:39
2
chimamaaaaaaaaaaa
chimamy❤️❤️❤️ :
Laisi wangu, pole sana kwa msiba huu mzito 💔🥺. Mungu akufariji katika kipindi hiki kigumu, akupe nguvu na akutie moyo wa kusimama tena. Usiwe peke yako, tupo pamoja nawe 🤍🙏
2026-09-15 12:43:23
16
grace.thomas356
Grace Thomas :
ila harmo ana adabu sana nampenda bure
2026-09-15 16:17:19
15
aziarabakari9
aziarabakari9 :
pole mamaa
2026-09-15 13:10:03
1
omar.k.h54
Omar K.H :
Pole sana Rais wa Tanzania 🇹🇿 ,mmni Mkenya 🇰🇪 Allah akusmamie kwa kila jambo Inshallah
2026-09-15 13:49:21
7
meriamndwt
shamy❤️ :
pole sana kipenz chetu Allah akusimamie inshaallah
2026-09-15 11:35:49
6
bienelly18
Mr_Ronoo🌍 :
pole mama
2026-09-15 17:09:48
0
nassorbakar
Dr Nassor Bakar📞+255654543124 :
mungu akupe subra na akulipe kheir katika ibaada hii hakika kullu nafsi itaonja ummauti
2026-09-15 18:45:53
6
user98756247017073
shakiru sudy :
pore sana mamaangu mungu awe mfariji wako kwa kipindi ichi kigumu
2026-09-15 10:52:44
5
glorydailan
Glory Dylan :
pole san mama ang mungu akutulie mzigo wa uchungu na mawazo
2026-09-15 11:00:54
6
umojaninguvugmail.com0
umoja ni nguvu 🤝🇹🇿 16 :
Heshima yako mheshimiwa, pole sana mama, naomba usijihisi mpweke mana wana nchi wako tuko pamoja na wewe kwa kila hali, mheshimiwa rais mama samia tabasamu lako ndio furaha ya wana nchi, tunamuombea🤲 marehemu rehema na amani ziwe ju yake,tuli mpenda ila Mungu akampenda zaidi, mheshimiwa rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania usijihisi mpweke sisi 🇹🇿 tuko pamoja na wewe🤝🇹🇿tz.
2026-09-15 13:55:29
7
gamba.umeme
GAMBA UMEME KAHAMA :
pole mama mungu akupe ustahimilivu
2026-09-15 15:49:38
1
its.jansu
N.P.S,0089 :
pole mama 🙏
2026-09-15 16:04:32
2
aysherkhaan
Aysher Khaan :
pole sana mama allah akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu[Pray]
2026-09-15 12:49:18
11
neema.samwel064
Neema Samwel :
pole sana mama
2026-09-15 15:40:52
1
zainabu9962
zainabu :
pole na mitihani ya mungu
2026-09-15 16:02:49
1
pacsavege1234
ITS, PAC ,SAVEGE,🌀🇳🇬👀 :
POLE MAMA ❤️❤️❤️❤️❤️❤️TUMUOMBE DUA 2 SAFALI YETU SOTE ❤️
2026-09-15 22:57:07
3
apotredebora0
apotre Deborah jismine :
mama ni mama
2026-09-15 15:53:40
3
jesca5366
JESCA :
pole sana mamaa
2026-09-15 12:04:29
3
To see more videos from user @rahim.amiry, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About