@dukahuru:

Dukahuru
Dukahuru
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 10:42:17 GMT
21205
997
45
257

Music

Download

Comments

neemanasua
Neyney flowers :
umeongea kitu kikubwa sana!
2026-09-15 12:51:25
1
life.withnunu
Ms.Leo111♌️ :
Apo kwa wanaume kuwasema wanawake wao jmn yooh mfano mtu ulikuwa zako flat tummy ukizaa kuna namna mwili unabadilikq sasa mtu anaanza kukusemaa yooh mim ndo huwa sijali na ninamwambia kabisa bora nakitambi lkn kimekuja kwa sababu nmezaa kuna watu wanavitambi vya bia anafunga mdomo😂😂💃
2026-09-15 11:31:14
22
officialdivash
sheerine🌸💕 :
Very true😎
2026-09-15 14:11:11
0
fundilady6
fundilady6 :
so trueee😂
2026-09-15 12:59:20
1
useraminaluxury
Amina store tz :
nimeipenda apo ulivyo mwigilizia uyo mwanamkee
2026-09-15 12:54:13
1
nurdin.iddy
Jack :
Do you marry me
2026-09-15 12:13:19
1
urbacharmcolection
URBAN CHARM COLLECTION :
sawa sawa kidawa
2026-09-15 12:27:34
1
maslaaam4
MASLAA SHOE STORE :
Nina ushuhuda hapa jaman
2026-09-15 12:59:09
1
aminajuma766
aminajuma766 :
Ahsante kwa mafunzo
2026-09-15 11:51:29
1
lovebestoutfits
Love best outfits :
nimeipenda iyoooo
2026-09-15 11:50:36
1
joycetimothy940
Joycetimothy940 :
fact
2026-09-15 11:04:32
1
minahmodesty.tz
Minah Modesty :
2026-09-15 12:00:24
1
zayt_indoorbeautypoint
Zayt_Indoor :
Kaka wengine wanatukatisha tamaaa kaka
2026-09-15 12:41:32
1
precious_prosper3
theodory :
kweli tena,
2026-09-15 11:45:23
1
claree2021
beatyprosperlugen :
yan umemaliza yoootee , ni ukweli mtupuu. tunakatishana sana tamaa humu ndani bila kujua kama inakuathiri sana na kupunguza kujiamini.
2026-09-15 12:47:23
1
rejogo.com4
Mama Goldenboy poly ❤ :
Asantee nimekupata na acha hii dharau😂😂
2026-09-15 12:32:43
1
jcarl366
carljetha :
nimekuelewa 🙏
2026-09-15 11:07:16
1
lilliansammy161
lilliansammy161 :
Nimekuelewa sana hivyo ndivyo wazazi wa kichaga huwatia watt wao moyo mpaka wengi wao wanaweza
2026-09-15 12:41:12
1
bernadetha.kikuli
B.Kikuli :
Mume wng ukuje hapa...panamuhusu haswaaa🫣🫣🫣🤔🤗
2026-09-15 11:41:41
1
dinasylivester
Dina kagina :
Nlkua naskilza nakakumbuka sna...... 😅
2026-09-15 11:34:20
1
missjay510
missjay510 :
Sini ukweli
2026-09-15 11:23:30
1
unique.and.cheap
Unique and Cheap :
2026-09-15 12:54:41
0
tariuslady1
Sagittarius :
umeeleweka sanaaaaa, umeuaaaaa na wameelewa mana umemaliza kila kitu
2026-09-15 13:55:08
0
lolie988
Lolie 🤎 :
Ikifika 1k tellme but he speak facts ✊✅
2026-09-15 10:51:59
2
To see more videos from user @dukahuru, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About