@pilimndengestan: Waandishi wa Habari endeleeni kula upepo wa mabaharia wa Africa kusini .Bila kufanya hivo hamuuzi tunawaelewa .Endeleeni kuwapa watu lakilaki muwahoji watuchoresheee .Mmeshindwa kuwahoji watu mchanganyiko mmeenda kuhoji watu wenye mapengo tu .Watu hawana content za kufanya south Africa south Africa ipo midomoni mwao .Sie tupo sanaaa hii nchi na tukiamua kurudi home muda wowote tunarudi kwani nyie nani ? #eastafricantiktoks #tiktoktanzania #swahilitiktok #zanzibartiktok #daressalaam @Her name is Pilli 🥰

Pili de mayo ❤🦀🦀
Pili de mayo ❤🦀🦀
Open In TikTok:
Region: ZA
Tuesday 15 September 2026 10:46:11 GMT
7036
416
30
4

Music

Download

Comments

wajobek.mlawa
Wajobek mlawa 🦍 :
awee sister Nazo salute 🫡😎
2026-09-15 21:46:03
0
eric.raiders6
Eric Raiders :
Awee!! Awee!! O$H 26
2026-09-15 17:35:35
1
mashine634
Mashine :
True story sister
2026-09-15 20:38:13
2
truelife498
꧁༺ SOBOGO༻꧂ :
Na wenye maziwa pia usisahau apo 😁
2026-09-15 21:12:41
3
alfredaloyce652
Alfred Aloyce :
sikuwepo nilikuwa bize dada yake
2026-09-15 11:12:12
1
pacha25404
Pacha2 :
Mguu wa kutoka una Baraka, mm niko Nje Nakuelewaaa sana Sis🥰🥰🥰
2026-09-15 17:42:39
2
juma.msati
Juma Msati :
familia
2026-09-15 15:17:43
1
justinkasongo429
DIZZO DESIGN :
Oya baaria
2026-09-15 20:54:55
0
emeliakatchunga
Emelia Katchunga :
Waambie dada ,Wengine bado tupo Saouth Africa tume wekeza na maisha yanaendelea
2026-09-15 22:23:57
0
abuu.yoga.class
Abuu Yoga Class :
Ili uwe Baharia inabid iwe Vp mbona wengine hawana sifa ya ubaharia
2026-09-15 20:39:05
0
ansjxjshhhhhh
+255 :
Nyiny mabaharia wa meli gani
2026-09-15 22:50:46
0
enqabeni_5
Rama :
wanataka kutugawa na sisi atuna udini wabongo kama sio ndugu zetu. mungu🙏
2026-09-15 13:12:43
0
mohamedmangopola0
Mo furniture 👣 :
tukutane kilingeni leo
2026-09-15 12:23:18
0
vesso_sarah
vessosarah :
fatma kipepe karudi
2026-09-15 21:05:49
0
stellahkimpandwa
stellahkimpandwa :
❤️❤️❤️
2026-09-15 15:57:00
0
mohamedi.msangi1
Msangi the legende in South :
🙏🙏🙏
2026-09-15 21:26:54
0
omary.luambano
Omary Luambano :
😅😅😅
2026-09-15 11:50:17
0
helijapheti
MR HECHI BOY FAMILY :
🥰🥰🥰
2026-09-15 21:15:17
0
sabrinamzungu
sabrinaMzungu❤ :
😁😁😁😁😁
2026-09-16 05:18:41
0
To see more videos from user @pilimndengestan, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About