mnatuvuruga tuu, hata sijaelewa kitu. sasa tiketi zinakatwa online nyie mnasema ukiwa ofisini labda mzungumzie mizigo sio abiria.
2026-09-15 20:05:00
1
official_.traveller :
Hii ni nzurii zaid ya nzur 🔥🔥🔥
2026-09-15 11:16:47
3
Kili Tanzanite Safaris DMC :
Kijani na blue , wameamuaa
2026-09-15 14:34:02
1
PA²SHINOTEE🇹🇿 :
kumeanza kuchaamka
2026-09-17 18:59:49
0
dadygabriella :
Wameungana ili wamauangamize mbunge lakan hawatomuweza 🤣🙌🏾 king of the road
2026-10-03 11:42:44
0
user8165309080803 :
Hii ndyo maana halisi ya ndege za chini hawana mambo mengi Ukiwa BM Coach ofisi ukiitaji ticket ya Katarama unapata hivyo hivyo ukiwa ofisi ya Katarama unapata ticket ya BM coach 🥰🥰
2026-09-18 14:10:55
0
*102#cheki salio :
bado sana
2026-09-30 17:09:02
0
Salim Ngudu :
saf
2026-09-15 12:00:40
0
💕❤️DA ZUUH💕❤️ :
wao
2026-09-23 09:20:29
0
Mwesachi mgube :
respect
2026-10-28 15:21:40
0
official_.traveller :
Satco na shabiby waige hii😂😂😂😂
2026-09-15 11:17:06
1
Babuu_tz :
Hapo sijaelewa
ama kwa tiketi ya @Katarama Luxury bus unaweza kuitumia kupanda @bmcoach
2026-09-15 12:36:38
3
🇩 🇪 _🇶 🇼 🇸 🇹 🇴 🇳 🇪 :
leo ndo nasikia kampuni yangu pendwa inapiga Collab @BM COACHES
2026-09-15 21:51:20
1
To see more videos from user @busesroadways, please go to the Tikwm
homepage.